Machimbo ya kupata mikopo rahisi kwa njia ya simu

Machimbo ya kupata mikopo rahisi kwa njia ya simu

Apo inabidi usubri ndio ivyo ivyo kama kila ushatuma wait ata Mim ilikua ivyo mpaka Nika izila baadae nikakuta wamenipa go ahead ya kukopa
Kuna hawa wa. .nge application kama 7 zote zinafanana ila jina tofauti na una log in Kwa email Yako wanakuwa wanafanana Kila kitu
Mshiko app
Nufaika
Premier
Umoja Kuna app za kipumbavu
 
Una link nimetafuta hoihoi
Ipo play store iyo
Screenshot_2023-02-17-15-41-02-01.jpg
 
Wanasumbua ukichukua Leo ikifika siku ya tano Tu wanaanza kupiga simu yani wanashangaza wakati siku ya kuwalipa aijafika mpaka kelo
IMG_20230218_100414.jpg

Nililipa kutokana na usumbufu wao nikaacha kwanz kuwakopa saiz wananisumbua nikope
 
Mikopo online ni HOAX imagine majina tofauti ila zinafanana Kila kitu USHENZI PLUS

Nimeamua nisizifite Ili nisije kuja kujikaanga ni download tena nakuanza kujaza details
 
Mikopo online ni HOAX imagine majina tofauti ila zinafanana Kila kitu USHENZI PLUS

Nimeamua nisizifite Ili nisije kuja kujikaanga ni download tena nakuanza kujaza details
Mzee Ukiacha l pesa na pesa x izo zingine zote futa Tu
L pesa nadaiwa 24
Branch nadaiwa 24
Pesa x sidaiwi na mpaka sasa na uwezo wa kukopa hawa pesa x mkopo wao ni muda mfupi Sana siku 7 uwe umelipa alafu liba kubwa
L pesa na branch nadaiwa nilikaa muda mrefu siko tz nimerudi sijalipa bado
Hawa L pesa kwa sasa Wana kipengele cha upload mobile money statement ya mwezi mzima mihamala uliofanya kwa mtandao unao tumia iwe tigo au voda hiki kipengele kama auna mihamala ni kigumu
Screenshot_2023-02-18-12-56-28-90.jpg
 
View attachment 2521480
Nimejiunga na L pesa leo na kujaza taarifa zote lakin bado naandikiwa hivi "Awaiting approval" ...wazoefu hali hii itaendelea mpaka lini?
Screenshot_20230218-175357.jpg
 
Back
Top Bottom