james bendui
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 693
- 690
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii l pesa ndio nimeijua jana nimeunga lkn kila nikijaribu kuvuta kamkopo kangu pale kwenye personal loan inaload tuDownload app Yao ya Lpesa...wanaanza na dola moja , ukiilipa wanakupa dola 2, hvyo hvyo unapanda mpak 2million
Mkuu hii L-pesa naipata pata vipi?Hawa nimewakopa Ila sijawalipa , daaah mambo hayajakaa mkao, kila sku huwa wananiamsha Kwa sms, ngoja nifanye Mpango niwalipe aisee
Mkuu hii l pesa ndio nimeijua jana nimeunga lkn kila nikijaribu kuvuta kamkopo kangu pale kwenye personal loan inaload tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwenye mawasiliano na TALA please hela yao nimepata nataka niwarudishie
Sent using Jamii Forums mobile app
Kopa L Pesa Branch,tigo nivushe,Mpawa.Kopa huko.Machimbo mengine ya Nini wakati haya yapoHabari za Jumapili wakuu!
Napenda tujuzane mahali pa kupata mikopo kwa njia ya simu.
Binafsi nimekuwa mnufaika mzuri wa mifumo hii ya ukopeshaji kwa njia ya simu.
Nimekuwa mteja wa makampuni haya kwa muda sasa na kiukweli yanasaidia sana hasa unapokuwa na emergency.
Miongoni mwa makampuni/mashirika ninayoyatumia ni Branch International, L-pesa microfinance na TALA (hii haipo nchini kwa sasa).
Pia kuna huduma za mikopo kwenye mitandao ya simu kama vile M-Pawa, Songesha (Vodacom), Tigo Nivushe (Tigo)n.k
Huduma hizi ni nzuri na uhakika kikubwa ni uaminifu tu kwani mimi nimeweza kukopa na kufikia viwango vya juu.
Kama kuna anayejua chimbo lingine tujuzane.
Ahsanteni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbingu utaiskia tumwenye mawasiliano na TALA please hela yao nimepata nataka niwarudishie
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nchi yetu yenyewe inadaiwa kila kona na bi mkubwa anazid kutafuta machimbo mapya ya kukopa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sina hamu na wabongo. Yaani unakuta mtu ana mkopo kila mahaliii, na haogopi
[emoji1787][emoji1787]Sasa kama ww ni Mteja mzuri Wa makampuni uliyotaja hapo, unayatafuta mengne ya nini? Acha utapeli dogo.
Hapo najua huko kote ulikotaja unadaiwa na hukopesheki ndio maana unajaribu kutafuta kwengne..
Sent using Jamii Forums mobile app
ShngapHawa nimewakopa Ila sijawalipa , daaah mambo hayajakaa mkao, kila sku huwa wananiamsha Kwa sms, ngoja nifanye Mpango niwalipe aisee
Na sasa kuna pesa x Ila mkopo wao Moto 20000 ndani ya wiki liba sasa mlima mhmShngap
Tuelezee naomba list mtaalamNa sasa kuna pesa x Ila mkopo wao Moto 20000 ndani ya wiki liba sasa mlima mhm
Wanakataaaa et not approved Kila mudaNa sasa kuna pesa x Ila mkopo wao Moto 20000 ndani ya wiki liba sasa mlima mhm