Machinga Arusha mwisho leo Novemba 2, 2021

Machinga Arusha mwisho leo Novemba 2, 2021

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Machinga waote wanaofanya biashara zao barabarani na maeneo yote yasio rasmi jijini Arusha wamebakiza siku moja kuondoka maeneo yote yasiyo rasmi na kuelekea maeneo waliopangiwa.

Maeneo waliotengewa ni pamoja na Kilombero,soko kuu, Mbauda, Samunge. Stand ya Kilombero.

Kuanzia kesho tarehe 3/11/2021 hatakiwi machinga yoyote barabarani.
 
DSC_0801.JPG
 
Machinga wakiwa wanaondoa vibanda vyao tayari kwa kuhamia maeneo mengine
DSC_0800.JPG
 
Waanze na kariakoo kwanza. Wakiweza Dar , mwanza na mbeya ndipo waje chuga
 
Hawa wamachinga waliharibu sana jiji la Arusha yaani sehemu ya kutembea kwa dakika tano unatumia dakika kumi ukikwepa na kuruka masufuria ya watu barabarani kama vile una-dribble mpira.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa dar nampongeza makala kuanzia tazara mpaka Sheri buguluni wametii,Ila buguluni mnyamani mpaka sokoni wamegoma.
Kuanzia karume mpaka mnazi mmoja acha tu niwapongeze viongozi wamepiga kazi njia ni nyeupe Ila wale wa upande wa tbl wauza mashati nao wamegoma kutoka.
Mtaa wa nyamwezi na sikukuu nadhani Kama serikali itawatoa wale Basi hakuna machinga atakae kaidi Tena.
Pendekezo langu machinga hawawaogopi polic Wala mgambo. Jiji litumie IVECO moja TU. Ipite na majamaa wa lugalo watangaze kesho jeshi linafanya usafi katika mitaa yote ya k.koo tunaomba wananchi mtupe ushirikiano kwa kutoa bidhaa zilizopangwa kwenye maeneo ambayo jiji imeyakataza,na zoezi hili litadumu kwa miaka mitatu tunaomba ushirikiano wenu.
 
Zoezi la kuondoa machinga nchi nzima ilikua fursa nzuri sana kwa watanzania kudai tume huru na katiba mpya.

Viongozi hasa wa upinzani waamke sasa.
Acha ujinga,tunajua kila mwananchi ana haki lakini machinga anataka haki ya 100% kukaa barabarani ambapo watumiaji wengine wanapahitaji na yeye amepaziba,mbona hua mko kama mnafikiri kwa kutumia nyayo za miguu?

Jinga kabisa yani
 
Back
Top Bottom