Nunua simu maadam
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa wamachinga waliharibu sana jiji la Arusha yaani sehemu ya kutembea kwa dakika tano unatumia dakika kumi ukikwepa na kuruka masufuria ya watu barabarani kama vile una-dribble mpira.
Wamegoma kufanya nini?Nunua simu maadamView attachment 1995956
Huku iringa wamegoma kbs
Acha ujinga,tunajua kila mwananchi ana haki lakini machinga anataka haki ya 100% kukaa barabarani ambapo watumiaji wengine wanapahitaji na yeye amepaziba,mbona hua mko kama mnafikiri kwa kutumia nyayo za miguu?Zoezi la kuondoa machinga nchi nzima ilikua fursa nzuri sana kwa watanzania kudai tume huru na katiba mpya.
Viongozi hasa wa upinzani waamke sasa.