CCS Chama Cha Sisawazo mfu kwa nchi kama Tanzania..... mpaka sasa tungeona juhudi za wazi kutoka kwenu ila kama juhudi ni kuanzisha chama cha sisa MMEFELI kabla ya kuanza.
Divide and rule. Machinga mle ndani wamejaa mashushushu, hawawezi kuunganika, Siri zao zinavuja
wazo mfu kwa nchi kama Tanzania..... mpaka sasa tungeona juhudi za wazi kutoka kwenu ila kama juhudi ni kuanzisha chama cha sisa MMEFELI kabla ya kuanza.
by the way.... tuwape uongozi ili mrudi kufunga barabara zetu au mje na sera ileile ya kutengeneza mazingira bora????
Hivi tatizo kubwa la Taifa letu ni lipi?
1) Wenye kipato kidogo, aka machinga, au wasio kwenye mfumo rasmi, kudai fursa za kiuchumi?...
Umeiona Zanzibar mle mkuu? Zanzibar ni sehemu ya JMT.Nionavyo kama hao machinga wetu nao wanatoka kwenye jamii yetu hii iliyo na waoga kila upande sioni ni kwa namna gani hayo mawazo yanaweza kuwa active yakafanyiwa kazi...
Machinga wa Zanzibar waliwahi kufanya nini? au ndio yale mapinduzi yao ya 1964? hii kitu siiamini bado kama ili ufanikiwe utekelezaji wake unategemea kundi fulani tu la watu huku wengine wakiwa watazamaji.Umeiona Zanzibar mle mkuu? Zanzibar ni sehemu ya JMT.
Machinga wa Zanzibar waliwahi kufanya nini? au ndio yale mapinduzi yao ya 1964? hii kitu siiamini bado kama ili ufanikiwe utekelezaji wake unategemea kundi fulani tu la watu huku wengine wakiwa watazamaji.
machinga ni hatari kwa afya ya ccm
Acha uchochezi, mbona Mama anatatua matatizo ya wananchi? Ajira zimeanza kumwagwa bado projects kibao zinakuja.
Tatizo kubwa la taifa letu liko hapa:
Haki, usawa, uhuru na demokrasia...
Kwa haraka haraka nikiwa ninesimama kwenye daladala....Hivi tatizo kubwa la Taifa letu ni lipi?
1) Wenye kipato kidogo, aka machinga, au wasio kwenye mfumo rasmi, kudai fursa za kiuchumi?
2) Wafanya biashara kudai kodi za kutengeneza faida kubwa?
2) Asilikia 70% ya WaTz walioko vijijini kudai huduma bora za jamii (barabara, maji, elimu, nishati, nk)?
3) Wahitimu wa elimu wadai ajira?
4) Wanasiasa wanaodai demokrasia ya Uhuru usio na mipaka na Haki bila wajibu (au Katiba mpya)?
5) Wanasiasa wenye uchu wa madaraka wadai Tume huru ya uchaguzi?
6) na kadhalika
Taasisi ndogo kabisa duniani ni familia (Baba, mama na watoto). Ustawi wa hiyo taasisi unategemea dhana yako hiyo ya Haki, usawa, uhuru na demokrasia? Ufafanuzi wako utatoa mwanga kitaifa ni nini tatizo la msingi, kwa kuwa Familia hujenga Jamii ambayo hutengeneza Taifa