Binafsi nimeichukua hoja yako kwa mtazamo chanya. Naona kabisa kiu uliyokuwa nayo.
Shukran kwa kutupa moyo na kutuongezea ujasiri.
Nakukaribisha na wewe pia ktk kuzibadi fikra hizi na kuwa vitendo.
Kwa uoni wangu sifa kuu wa wamachinga wataounga mkono mchakato huu ni moja.
Kuwa Mkweli na Muaminifu/Muadilifu.