Machinga kuwashikashika wanawake inakera sana!

Machinga kuwashikashika wanawake inakera sana!

Nairobi umguse mtu hivyo unaenda Jela jamaa hawataki utani hawa...bongo vitu vingi tunafanya kwa mazoea ndio maana hata makampuni ya simu yanatuibia wanajua mambo ya mahakamani na sisi wapi na wapi...unanunua data dakika chache baadae wanasema umetumia 75% hatufanyi kitu hao Voda kila kukicha matangazo ya biashara au wanakuunga kitu na ukijui na wanakukata kila siku tupo kimya tuu..
 
Sipendi hii hali hata mimi mara ushikwe mkono mara bega...mara sjui nini...aseeeeeeeeee hii nchi ya ovyo sana
Nakerekaaaaaaaaaa nataman niwawashe kofii.
Don't try this. utapoteza vingi.

Elewa tu kuwa hii Dunia imejaa watu WAJINGA/WAPUMBAVU, na wamejigawa kimkakati ili kwa siku uweze kukutana na angalau Mmoja kati yao.

Respect yourself Bibie.
 
Nna miaka kama 10 sijaenda karume aisee sijawai kuona sehem yenye karaha kama ile yani mtu atakushika mkono hataki kukuachia tafrani tupu
We ndo kama mm,sipapend pale kuna karaha tupu,mara ya mwsho kukanya nahisi hata miaka 10 imefka kwa jinsi nnavopachukia.
Last nlishkwa nyonyo ndo ilkua mara ya mwsho me kukanyaga soko lile.
 
Mimi huwa nawakung'uta na hamna kitu wananifanya aisee, kuna siku nimeshuka mwenge machinga mmoja akawa ananing'ang'aniza kununua nguo kwake nikamwambia sihitaji nguo akaanza kunishika,kila nikijaribu kumkwepa naona ananizonga, niliweka mkoba begani vizuri nikageuka kama naondoka nikampa teke la nyuma, hajakaa vizuri nikampa side kick, anataka kunyanyuka nikamshika shati nikamnyanyua nikamwambia sasa wewe ulikua unanishika simama hapa unishike vizuri, ikabidi wenzie wamuamulie, nikawaambia msipende kuzoea watu sisi wengine ni waalimu wa taekwondo

Watu walijaa nikasepa zangu wakabaki wanamcheka
🤣🤣🤣 I like you
 
Jamani hii wadada muiangalie nilipanda gari ya tegeta-kariakoo basi mdada na abaya lake kanisusia uno lote uwiii niliamisha mawazoooo weeee waaapiii jamani ingekuwa ni ile premature ejaculation basi ningemwaga maaana nilijikaza mpaka nikasema liwalo na liwe Mungu si Santos06 akashuka ndio afuweni hakuna vitendo vinaniuzi kama kushikwa hasa na wanawake maana wao pia wanatabia hii wajaui upo mood gani mwishowe umpige mtu ngumi
Yaani we acha tu, ndani ya usafiri ni kujikaza tu ukikutana na mbanano wa hivyo, ndio maana wendawazimu huwa wanatoa dushe kabisha na kuanza kupiga shoo kinguonguo, hatari
 
Hwuuh! Unashangaa hayo? Shangaa wapaka rangi kucha, utakuta mwanamke kamnyanyulia mguu mpaka rangi huku mkono mmoja kashikilia kanga kuziba pale kati, mara anaachia kanga paap! Kabati linakuwa wazi na vyombo vyote ndani vinaonekana!

Sasa hapa nani alaumiwe kama si kumrusha roho mpaka rangi? Shangaa nyingine kwenye kwenye usafiri wa kusimama ndani ya basi, unakuta mwanamke makalio yake yote kakugeuzia na yanagusa sehemu nyeti joto kama lote linatua mzigoni.

Jamaa mapigo ya moyo yanaanza kwenda kwa kasi, huo uchafu aliojichafua kwa kukandamizwa na makalio sio wa nchi hii! Kama unaona machinga wana tabia hiyo ni kuwaepuka tu
Hao wanawake unaowazungumzia wamependa wenyewe kujidhalilisha. Lkn wale machinga wanaotushika wenyewe kwa nguvu huu ni udhalilishaji wanatukera.
 
Hawa dawa yao ndogo,mmoja Niko shy akaja nilipoketi ananilazimisha ninunue kava la simu ,sikumjibu, ila nikamkazia macho, sikuyapepesa hata, kaongea maneno weeh mie kimya ila still nimemkazia macho, jamaa akaogopa, akageuza akasepa huku akilalama mademu wengine sijui ni misukule?😅😅😅nikaangua kicheko balaa
 
Hwuuh! Unashangaa hayo? Shangaa wapaka rangi kucha, utakuta mwanamke kamnyanyulia mguu mpaka rangi huku mkono mmoja kashikilia kanga kuziba pale kati, mara anaachia kanga paap! Kabati linakuwa wazi na vyombo vyote ndani vinaonekana!

Sasa hapa nani alaumiwe kama si kumrusha roho mpaka rangi? Shangaa nyingine kwenye kwenye usafiri wa kusimama ndani ya basi, unakuta mwanamke makalio yake yote kakugeuzia na yanagusa sehemu nyeti joto kama lote linatua mzigoni.

Jamaa mapigo ya moyo yanaanza kwenda kwa kasi, huo uchafu aliojichafua kwa kukandamizwa na makalio sio wa nchi hii! Kama unaona machinga wana tabia hiyo ni kuwaepuka tu
Ngoja makabati yao yachunguliwe. Kabati likipigwa vanish lazima ligeuzwe pembe zote zipakwe rangi na kufutwa vumbi.

Tena hiyo mikabati mikubwa wanayoipeleka kwa wapaka rangi itachunguliwa sana. Yani mwanamke mtu mzima na akili yako timamu, naviungo vyako kamili kwamaana ya mikono miwili eti unaenda kuoshwa kuchwa.

Tena hao wanachokitaka hawajakipata bado
 
Mi kuna siku nilikuwa kwenye mwendokasi demu akaniwekea tako dah la moto hatari kidogo nidhalilike nimwage wazungu
kuna demu kwenye daladala aligusisha paja lake muda mrefu kwenye eneo langu nyeti likapata joto, kilichotokea ni pre wazungu kuharibu boxer mpaka suruali ya kitambaa ikanasa ubichi na kuchora duara nikawa natembea kwa aibu huku nikufunika funika mchoro huo wa duara kuwahi home kubadilisha suruali.

Si unajua wazungu hata wakikauka huchora ramani
 
Ngoja makabati yao ya chunguliwe. Kabati likipigwa vanish lazima ligeuzwe pembe zote zipakwe ranging na kufutwa vumbi.
Tena hiyo mikabati mikubwa wanayoipeleka kwa wapaka rangi itachunguliwa sana.
Yani mwanamke mtu mzima na akili yako timamu,naviungo vyako kamili kwamaana ya mikono miwili eti unaenda kuoshwa kuchwa.

Tena hao wanachokitaka hawajakipata bado
Hivi kwa nini huwa mnaumia sana tukienda kupaka rangi huko? Huwa mnaamini nini??
 
Back
Top Bottom