Machinga: Rais Samia amesema tupangwe vizuri hajasema tuhamishwe kama inavyotafsiriwa na watendaji!

Machinga: Rais Samia amesema tupangwe vizuri hajasema tuhamishwe kama inavyotafsiriwa na watendaji!

Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.

Source: ITV Malumbano ya Hoja
Ata kama kuamishwa lakini watafutiwe maeneo mbadala lakini kwasasa naona wanafukuzwa tu bila kupewa utaratibu waende wapi zaidi wataenda kuvamia sehemu nyingine.
 
Ukiwa dereva utajua adha ya wamachinga kukaa hovyo mijini. Wamejenga mabanda na ngazi zao mpaka katikati ya barabara. Ni wakaidi na wajuaji wasiojua kuomba radhi.

Ajira hamna. Ndiyo. Lakini tukae kwa mipango
 
Hata ukiwa mtembea kwa miguu, utajua adha ya machinga kufanyia biashara kwenye barabara za waenda kwa miguu.
 
Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.

Source: ITV Malumbano ya Hoja
Hii inatakiwa iwe agenga ya kitaifa maana Taifa limepoteza muelekeo, mara kwa mara kwenye vyombo vya habari wanaojadili hili ni watu walewale. Watawala hawana elimu ya ujasiriamali ,somo la ujasiriamali ni pana sana.

Kwenye elimu ya ujasiriamali tunajifunza namna ya kufanya biashara ambapo ndani yake kuna ubunifu, namna ya kuenenda kwenye biashashara, utafutaji masoko.

Kuuza bidhaa ama huduma zenye obora,mahusiano mema kwenye jamii inayokuzunguka,kukabiliana yanayomzunguka mfanyabiashara yapo mengi zaidi ya haya.
 
Kwa hiyo huyo jamaa akisema ndiyo sheria za mipango miji? Hayo ni maneno ya kujifariji subirini amri ya Rais ianze kufanyiwa kazi, Watu wanafikiri amri ya rais ni kama wanapojiendea tu mahali popote na kuwrka meza.
 
Ata kama kuamishwa lakini watafutiwe maeneo mbadala lakini kwasasa naona wanafukuzwa tu bila kupewa utaratibu waende wapi zaidi wataenda kuvamia sehemu nyingine.
Waende walikotoka, Nani kawaleta mjini. Kila ardhi ina mwenyewe,wewe unatoka kijijini kuja mjini umeshàwahi kujiuliza unakwenda kukalia ardhi ya Nani?
 
Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.

Source: ITV Malumbano ya Hoja
JPM aliwapa jeuri kubwa mpaka nchi nzima imechafuka!

Eti wapangwe vizuri barabarani na miferejini!

Tangu lini Rais akawa town planner?

SSH amerudia makosa yaleyale ya JPM hajasaidia kuondoa tatizo.

Acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kitaalamu. Umachinga ni zao la utawala wa CCM tangu enzi za Mzee "Ruksa". Ndiye alielitoa 'JINI' la UHOLELA (arbitrariness) kwenye chupa halafu JPM akaliweka sebuleni kwao CCM! Hapakaliki!

Ndiyo maana RC Makala alisema anajitoa muhanga ili lawama apewe yeye. Badala ya SSH kukaa pembeni amekoroga zoezi tena!
 
Waende walikotoka, Nani kawaleta mjini. Kila ardhi ina mwenyewe,wewe unatoka kijijini kuja mjini umeshàwahi kujiuliza unakwenda kukalia ardhi ya Nani?
Mkuu mshukuru Mungu kakupa! Ila kumbuka ata wewe una uwezo wa kwenda popote katika mipaka ya Tanzania na ukaishi utakapotaka kulinga na uwezo wako.
 
Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.

Source: ITV Malumbano ya Hoja
Tunawapangeni kwenu Lindi na Mtwara
 
Hii inatakiwa iwe agenga ya kitaifa maana Taifa limepoteza muelekeo, mara kwa mara kwenye vyombo vya habari wanaojadili hili ni watu walewale .Watawala hawana elimu ya ujasiriamali ...
Hili ni kosa limefanywa na serikali ya Ccm, sasa wanaogopana. Huwezi kujenga barabara kwa mapesa mengi halafu watu wana kuja kutandika huko nguo na mbogamboga. Huu sio mpango mji. Sasa Ccm wenyewe wawatoe..
 
Ila tukubaliaqne kuiwa hawa machinga;
  1. wameharibu kabisa mazingira ya miji yetu
  2. Kingo za barabara na mitaro ya maji imezibwa na vibanda jamabo ambalo ni hatari kabisa kwa kuundombinu husika.
  3. Njia za waenda kwa miguu zimezibwa na bidhaa zao hivyo waenda kwa miguu hutumia barabara za magari!
  4. Hata sehemu ambazo hazitakiwi kabisa kufanya biashara wao wamepanga bidhaa zao!
Jambo hili halina afya hata kidogo na tuendako no hatari zaidi! Tuchukue hatua
 
Hata ukiwa mtembea kwa miguu, utajua adha ya machinga kufanyia biashara kwenye barabara za waenda kwa miguu.

Nawe unatakiwa kujua adha ya familia za wamachinga wanazopitia pindi wategemezi wao wanapovunjiwa ama kuamishwa maeneo waliyozoea kuingiza kipato chao Cha “hand to mouth” tofauti Na wewe unae kuwa Na kipato Cha saving
 
Back
Top Bottom