Machinga: Rais Samia amesema tupangwe vizuri hajasema tuhamishwe kama inavyotafsiriwa na watendaji!

Machinga: Rais Samia amesema tupangwe vizuri hajasema tuhamishwe kama inavyotafsiriwa na watendaji!

nilichojifunza ni kwamba Machinga wa nchi hii ni mtu muhimu saana. Hawana document yoyote ya kisheria ya kufanya biashara ila analindwa vby mno.... afu watu wanategemea ati taifa lisonge mbele.

Taifa la wachuuzi ni lini likaendelea.
 
Ukiwa dereva utajua adha ya wamachinga kukaa hovyo mijini. Wamejenga mabanda na ngazi zao mpaka katikati ya barabara. Ni wakaidi na wajuaji wasiojua kuomba radhi.

Ajira hamna. Ndiyo. Lakini tukae kwa mipango
Ukienda kariakoo kwa gari utajuta. Yaani hakuna nafasi kabisa. Njia za wapita kwa mguu zimejaa machinga. Hivyo watembea kwa mguu inabidi waje barabarani. Yaani ukigonga sasa. Hapo jua gari yako itapondwa na unaweza kata kupoteza maisha.
 
Hili jambo ni kweli kabisa maagizo yamepotoshwa na yanatekelezwa kwa mihemko!
Rais mwenyewe katambua kuwa Shida sio Machinga, Bali shida ni Machinga kukosa Management ilihali kila walipo pana DED, DC , RC, WEO na wengine wengi!
Uongozi ndio haujatekeleza wajibu wake ipasavyo, Uongozi ndi unaotakiwa kuwawekea mfumo wa kufanya hizo biashara zao katika mpangilio mzuri, lakini pia katika mazingira salama na wezeshi!
Kwa hiyo hapa Concept, sio kuwaondoa tu kama takataka, wapangwe upya na waendelee na shughuli zao muhimu za ujenzi wa familia zao na taifa kwa ujumla.
Nilitamani Mh. Rais atumbue RC mmoja au wawili kupitia sakata hili ili wengine wajifunze kutoka hapo!
 
nilichojifunza ni kwamba Machinga wa nchi hii ni mtu muhimu saana. Hawana document yoyote ya kisheria ya kufanya biashara ila analindwa vby mno.... afu watu wanategemea ati taifa lisonge mbele.

Taifa la wachuuzi ni lini likaendelea.
Yaani ndugu yangu, nchi imekuwa ni ya wachuuzi tena vijana walio na nguvu wazalishaji wachache.....kaazi kwelikweli.
 
Kuwaondoa ni sahihi au si sahihi chakufanya wawapange kwa namba na vibanda viwe vyenye mpangilio unaoeleweka ili hta wanapokuwa wanafanyia biashara zao muonekano uwe mzuri kma wenzetu uko duniani
 
Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.

Source: ITV Malumbano ya Hoja

Hivi wamachinga utawapangaje watu wamevamia hata njia za waenda kwa miguu na wanasababisha ajali hakuna mahali pa kupita mmachinga gani anakuwa na mali ya mamilioni huku ni kukwepa kodi watafutiwe eneo lao lakini sio kwa mtindo huu
 
Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.

Source: ITV Malumbano ya Hoja

Ukiwa dereva utajua adha ya wamachinga kukaa hovyo mijini. Wamejenga mabanda na ngazi zao mpaka katikati ya barabara. Ni wakaidi na wajuaji wasiojua kuomba radhi.

Ajira hamna. Ndiyo. Lakini tukae kwa mipango
Sasa wewe gari lako moja lina thamani gani kuliko riziki ya wananchi 50?

Kama Wamachinga ni adha ya wewe kutodrive basi tembea kwa mguu. bora wewe usiendeshe gari lakini watanzania 50 wapate hela ya kula!
 
Watu wafuate sheria na taratibu tulizojiwekea kama Taifa ipasavyo, vinginevyo ni kuendekeza UPUMBAVU.
 
Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.

Source: ITV Malumbano ya Hoja
Hivi mheshimiwa ni Nani Nchi hii?
 
Nawe unatakiwa kujua adha ya familia za wamachinga wanazopitia pindi wategemezi wao wanapovunjiwa ama kuamishwa maeneo waliyozoea kuingiza kipato chao Cha “hand to mouth” tofauti Na wewe unae kuwa Na kipato Cha saving
Ukiyaangalia hayo huwezi kufika. Jiji kunadhalishwa uchafu mpaka kutoka sababu ya wauza matunda ambao wakimaliza hawasafishi
 
Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.

Source: ITV Malumbano ya Hoja
Machinga hampangiki hata kwa buludoza, mngekuwa mnapangika mngekwishaanza kujipanga wenyewe kwa kuwatumia viongozi wenu, acheni kuwapotezea muda viongozi.
 
Back
Top Bottom