Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukienda kariakoo kwa gari utajuta. Yaani hakuna nafasi kabisa. Njia za wapita kwa mguu zimejaa machinga. Hivyo watembea kwa mguu inabidi waje barabarani. Yaani ukigonga sasa. Hapo jua gari yako itapondwa na unaweza kata kupoteza maisha.Ukiwa dereva utajua adha ya wamachinga kukaa hovyo mijini. Wamejenga mabanda na ngazi zao mpaka katikati ya barabara. Ni wakaidi na wajuaji wasiojua kuomba radhi.
Ajira hamna. Ndiyo. Lakini tukae kwa mipango
Yaani ndugu yangu, nchi imekuwa ni ya wachuuzi tena vijana walio na nguvu wazalishaji wachache.....kaazi kwelikweli.nilichojifunza ni kwamba Machinga wa nchi hii ni mtu muhimu saana. Hawana document yoyote ya kisheria ya kufanya biashara ila analindwa vby mno.... afu watu wanategemea ati taifa lisonge mbele.
Taifa la wachuuzi ni lini likaendelea.
Wasipangwe waondolewe kabisa ni wachafuziUpo sahihi kabisa ila wasifukuzwe wapangwe.
Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
si kukalia ardhi ya mwenzako... sikatai wasije mijini, waje wakijua wana mahali "pao" pa kukaa/kufanya biashara zao. Barabara ni za serikali na zina kazi zake..Mkuu mshukuru Mungu kakupa! Ila kumbuka ata wewe una uwezo wa kwenda popote katika mipaka ya Tanzania na ukaishi utakapotaka kulinga na uwezo wako.
Sasa wewe gari lako moja lina thamani gani kuliko riziki ya wananchi 50?Ukiwa dereva utajua adha ya wamachinga kukaa hovyo mijini. Wamejenga mabanda na ngazi zao mpaka katikati ya barabara. Ni wakaidi na wajuaji wasiojua kuomba radhi.
Ajira hamna. Ndiyo. Lakini tukae kwa mipango
Watu wafuate sheria na taratibu tulizojiwekea kama Taifa ipasavyo, vinginevyo ni kuendekeza UPUMBAVU.Sasa wewe gari lako moja lina thamani gani kuliko riziki ya wananchi 50?
Kama Wamachinga ni adha ya wewe kutodrive basi tembea kwa mguu. bora wewe usiendeshe gari lakini watanzania 50 wapate hela ya kula!
kuna sheria ya wamachinga kulipa 20000 kisha wasisumbuliwe. Hii sheria iheshimiweWatu wafuate sheria na taratibu tulizojiwekea kama Taifa ipasavyo, vinginevyo ni kuendekeza UPUMBAVU.
Hivi mheshimiwa ni Nani Nchi hii?Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
Ukiyaangalia hayo huwezi kufika. Jiji kunadhalishwa uchafu mpaka kutoka sababu ya wauza matunda ambao wakimaliza hawasafishiNawe unatakiwa kujua adha ya familia za wamachinga wanazopitia pindi wategemezi wao wanapovunjiwa ama kuamishwa maeneo waliyozoea kuingiza kipato chao Cha “hand to mouth” tofauti Na wewe unae kuwa Na kipato Cha saving
Wanapangwaje sasa kwenye barabara za waende kwa miguu? Wanapangwaje mbele ya maduka ya watu? Waondolewe katikati ya miji bwana! Wataenda kupangwa vizuri huko watakakopelekwa!Upo sahihi kabisa ila wasifukuzwe wapangwe.
Machinga hampangiki hata kwa buludoza, mngekuwa mnapangika mngekwishaanza kujipanga wenyewe kwa kuwatumia viongozi wenu, acheni kuwapotezea muda viongozi.Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.
Source: ITV Malumbano ya Hoja