Kuwaondoa tu bila kupata suluhisho la kudumu la kuwawekea utaratibu na kuwatengea maeneo maalumu ya kufanyia shughuli zao na kujitafutia riziki ni sawa kuhamisha tatizo toka mfuko mmoja kwenda mfuko mwingine kwenye suruali hiyo hiyo.
Tatizo letu ni kwamba watu wengi tunaliangalia suala zima la wamachinga on the surface, hatuoni chimbuko na mzizi wake, na kwa hiyo solution zetu ni shallow kiasi kwamba hazitatui tatizo hata kwa wiki moja.
Sijui great thinkers wanaoweza kuja na permanent working solution wako wapi?