johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ata kama kuamishwa lakini watafutiwe maeneo mbadala lakini kwasasa naona wanafukuzwa tu bila kupewa utaratibu waende wapi zaidi wataenda kuvamia sehemu nyingine.Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
Ukiwa dereva utajua adha ya wamachinga kukaa hovyo mijini. Wamejenga mabanda na ngazi zao mpaka katikati ya barabara. Ni wakaidi na wajuaji wasiojua kuomba radhi.Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
Hata ukiwa mtembea kwa miguu, utajua adha ya machinga kufanyia biashara kwenye barabara za waenda kwa miguu.Ukiwa dereva utajua adha ya wamachinga kukaa hovyo mijini. Wamejenga mabanda na ngazi zao mpaka katikati ya barabara. Ni wakaidi na wajuaji wasiojua kuomba radhi.
Ajira hamna. Ndiyo. Lakini tukae kwa mipango
Hii inatakiwa iwe agenga ya kitaifa maana Taifa limepoteza muelekeo, mara kwa mara kwenye vyombo vya habari wanaojadili hili ni watu walewale. Watawala hawana elimu ya ujasiriamali ,somo la ujasiriamali ni pana sana.Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
Hahahaaaa........!Wewe lini umeona machinga anakunya mtaroni?
Acha roho mbaya kwa vijana watafutaji.
Waende walikotoka, Nani kawaleta mjini. Kila ardhi ina mwenyewe,wewe unatoka kijijini kuja mjini umeshàwahi kujiuliza unakwenda kukalia ardhi ya Nani?Ata kama kuamishwa lakini watafutiwe maeneo mbadala lakini kwasasa naona wanafukuzwa tu bila kupewa utaratibu waende wapi zaidi wataenda kuvamia sehemu nyingine.
JPM aliwapa jeuri kubwa mpaka nchi nzima imechafuka!Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
Watapangwaje barabarani? Haiwezekani, ni kuwaondoa tuUpo sahihi kabisa ila wasifukuzwe wapangwe.
Mkuu mshukuru Mungu kakupa! Ila kumbuka ata wewe una uwezo wa kwenda popote katika mipaka ya Tanzania na ukaishi utakapotaka kulinga na uwezo wako.Waende walikotoka, Nani kawaleta mjini. Kila ardhi ina mwenyewe,wewe unatoka kijijini kuja mjini umeshàwahi kujiuliza unakwenda kukalia ardhi ya Nani?
Why wapangwe badala ya kujipanga?Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
Tunawapangeni kwenu Lindi na MtwaraMakamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
Hili ni kosa limefanywa na serikali ya Ccm, sasa wanaogopana. Huwezi kujenga barabara kwa mapesa mengi halafu watu wana kuja kutandika huko nguo na mbogamboga. Huu sio mpango mji. Sasa Ccm wenyewe wawatoe..Hii inatakiwa iwe agenga ya kitaifa maana Taifa limepoteza muelekeo, mara kwa mara kwenye vyombo vya habari wanaojadili hili ni watu walewale .Watawala hawana elimu ya ujasiriamali ...
Hata ukiwa mtembea kwa miguu, utajua adha ya machinga kufanyia biashara kwenye barabara za waenda kwa miguu.