Nikikwambia nishawahi kuona Machinga kwenye mall floor ya chini utafanyaje? Lol.....Ndio uliona wap Mall wakikaa machinga
mtu mwenye mtaji wa laki 1 na mali kauli umpeleke kwenye mall?
acha utani
Na sehemu ya biashara ni hapo hapo mjini,is either utenge sehemu yao hapo hapo mjini au ujidai kutenga maeneo mengine waende halafu warudi,stori za kusadikika..
jambo msiliojua na ambalo amtaki kufahamu Machinga ufwata eneo lenye mzunguko wa watu , Biashara nk
usitegemee Kiumbe machinga atafwatwa na Mlaji (sahauuuu)
Machinga Complex si ipo ?, Nyumba nyingi / office zipo tupu hazina watu..., ndio hapo utaona root of the problem sio kukosa nafasi au watu kujaa bali kipato cha kutosha... (disposable income)Mkuu ulikataa kujengwa mall yenye floor yao
Aache ujinga sasa mtu yuko barabarani unampanga vipi vizuri?Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
Na mama lishe anapika pembeniHatukatai ila asee hawa jamaa sawa.unapanga biashara mahala hakuna fasilit unajisaidia mtaron.ukilipuka ugonjwa je?
Wakiendelea hivi watapanga mpaka lango la kuingilia Ikulu wameanza kusogeaNawe unatakiwa kujua adha ya familia za wamachinga wanazopitia pindi wategemezi wao wanapovunjiwa ama kuamishwa maeneo waliyozoea kuingiza kipato chao Cha “hand to mouth” tofauti Na wewe unae kuwa Na kipato Cha saving
Muondoke mijini kwenye barabara na road reserves, kwenye majengo ya wafanya biashara wengine, kwenye sehemu za wazi, shule na sehemu msizopaswa kuwepo. Kufanya biashara si leseni ya kuvunja sheria nyie wamachinga. Muondoke kama hamtaki kukaa sokoni, mrudi vijijini mkalime. Ninyi ndio mnaongoza kwa ujambazi, ubakaji, ukatili dhidi ya raia wengine kwa kivuli cha umachinga, Ondokeni!Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
Folish au ulitaka kuandika PolishNilimsikia mbabaishaji mmoja ktk jumba flani hii akimtisha hadi RC wa mkoa flani! folish!