Machinga waandamana Mwanza leo

Machinga waandamana Mwanza leo

hivi polisi wa mwanza wote ni wachungaji?? hivi kibaka mkwepa kodi anakwamisha nchi kusonga mbele , anapata wapi nguvu za kukuzomea??? JITAFAKALINI!!!!
 
Hawa walidekezwa Sana. Nakumbuka enzi za utawala wa yule walikuwa hawagusiki.

Sasa naomba washikishwe adabu. Wapewe kichapo cha mbwa koko ili wasirudie. Kwann wao waandamane wakati mikoa mingine yote machinga wametii bila shuruti?
Mza vijana wa Kanda maalumu wapo wengi Sana ndo Mana hawaogopi kufa.
 
Mbona limetupwa bomu moja tu leo halafu wamachinga wote wa Mwanza wakatawanyika??
Wewe ulikuwa wapi Leo hii. Mie nilikuwa Niko igoma baadaye nikaenda town mpaka Rocky city mall.
So unataka kusema kuwa hakuna wa mura siku hizi ama
 
Wewe ulikuwa wapi Leo hii. Mie nilikuwa Niko igoma baadaye nikaenda town mpaka Rocky city mall.
So unataka kusema kuwa hakuna wa mura siku hizi ama
Hakuna kitu huko. Sifa za mura Ni kutahiri kwa kisu bila ganzi, hawa wa miaka hii wanatahiri hospitali.

Mura og anakunywa damu mbichi iliyochanganywa na kinyesi cha ng'ombe (gichuri), hawa wa miaka hii wanakula chips yai
 
Machinga wanapitia manyanyaso makubwa kuwai kutoka tangu tupate uhuru.
Wewe ni kilaza mzee.... kwahiyo wasipangwe sehemu sahihi eti wananyanyaswa? Dadangu punguza makasiriko, hii nchi lazima iwe na sheria zake. Kama hamna vya kuandika humu jamvini mkae nyumbani mnyonyeshe watoto wenu.
 
Kibanda kikijengwa juu ya mtaro wewe kinakuzuia nini kufanya maisha yako?
Kibanda kuwa juu ya mtaro kinasababisha kipindi cha mvua mitaro kuziba na kufanya maji kupita juu ya barabara na kuharibu embankment ya barabara (tuta) na kufanya uharibifu mkubwa wa miundo mbinu!! Hivyo basi mitaro kama sehemu ya miundombinu inatakiwa kuwa misafi ili maji ya mvua yapite kwenye calvats!! Pia utambue hawa wote wazibaji hawalipi kodi hata mia
 
Ninutaratibu tuu. Ccm iliwalea vibaya hawa jamaa.
Hakuna umachinga wa kuweka meza na vibanda.. Watembeze mizigo yao. Wanao weka meza ni wajasiria mali sio wamachnga
ccm ni chanzo cha matatizo viwanda vinamaliza machinga Ilani za ccm kila uchaguzi zimejaa utapeli mtupu utasemaje ccm iliwalea vibaya? Wizi ukabaji utapeli nchii chanzo ni ccm
 
Hakuna kitu huko. Sifa za mura Ni kutahiri kwa kisu bila ganzi, hawa wa miaka hii wanatahiri hospitali.

Mura og anakunywa damu mbichi iliyochanganywa na kinyesi cha ng'ombe (gichuri), hawa wa miaka hii wanakula chips yai
Duu Ila vijana chinga ni wa late 1990s or early. Ila wale wenyewe walikuwa wa early 1970s. Ila bado wapo wapo
 
Back
Top Bottom