Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mza vijana wa Kanda maalumu wapo wengi Sana ndo Mana hawaogopi kufa.Hawa walidekezwa Sana. Nakumbuka enzi za utawala wa yule walikuwa hawagusiki.
Sasa naomba washikishwe adabu. Wapewe kichapo cha mbwa koko ili wasirudie. Kwann wao waandamane wakati mikoa mingine yote machinga wametii bila shuruti?
Peponi?Wawape tu kichapo mtetezi wao alishafariki yupo peponi sasa hivi anasikitika tu watu wake wanavyoteseka.
Hakuna katiba ya kijinga hivoWangekua wanandoto juu ya kesho yao...Hapo wangeimba katiba mpya iwatambue rasmi...ili wasbughudhiwe tena...
We ni kilazaKibanda kikijengwa juu ya mtaro wewe kinakuzuia nini kufanya maisha yako?
Mbona limetupwa bomu moja tu leo halafu wamachinga wote wa Mwanza wakatawanyika??Mza vijana wa Kanda maalumu wapo wengi Sana ndo Mana hawaogopi kufa.
Wewe ulikuwa wapi Leo hii. Mie nilikuwa Niko igoma baadaye nikaenda town mpaka Rocky city mall.Mbona limetupwa bomu moja tu leo halafu wamachinga wote wa Mwanza wakatawanyika??
Hakuna kitu huko. Sifa za mura Ni kutahiri kwa kisu bila ganzi, hawa wa miaka hii wanatahiri hospitali.Wewe ulikuwa wapi Leo hii. Mie nilikuwa Niko igoma baadaye nikaenda town mpaka Rocky city mall.
So unataka kusema kuwa hakuna wa mura siku hizi ama
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we ni kilaza mzee...Kama mama yako.
Kupangiwa maeneo ya biashara ndio kunyanyaswa? Au una mazoea ya kulalamika tu.View attachment 1984505
Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.
Wewe ni kilaza mzee.... kwahiyo wasipangwe sehemu sahihi eti wananyanyaswa? Dadangu punguza makasiriko, hii nchi lazima iwe na sheria zake. Kama hamna vya kuandika humu jamvini mkae nyumbani mnyonyeshe watoto wenu.Machinga wanapitia manyanyaso makubwa kuwai kutoka tangu tupate uhuru.
RC NA DC wawe makini na hii issue samia anaona kila kitu,atawatimua if ni kweli hawawashughulikii hao machinga kuwapa maeneoView attachment 1984505
Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.
View attachment 1984505
Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.
Kibanda kuwa juu ya mtaro kinasababisha kipindi cha mvua mitaro kuziba na kufanya maji kupita juu ya barabara na kuharibu embankment ya barabara (tuta) na kufanya uharibifu mkubwa wa miundo mbinu!! Hivyo basi mitaro kama sehemu ya miundombinu inatakiwa kuwa misafi ili maji ya mvua yapite kwenye calvats!! Pia utambue hawa wote wazibaji hawalipi kodi hata miaKibanda kikijengwa juu ya mtaro wewe kinakuzuia nini kufanya maisha yako?
ccm ni chanzo cha matatizo viwanda vinamaliza machinga Ilani za ccm kila uchaguzi zimejaa utapeli mtupu utasemaje ccm iliwalea vibaya? Wizi ukabaji utapeli nchii chanzo ni ccmNinutaratibu tuu. Ccm iliwalea vibaya hawa jamaa.
Hakuna umachinga wa kuweka meza na vibanda.. Watembeze mizigo yao. Wanao weka meza ni wajasiria mali sio wamachnga
Duu Ila vijana chinga ni wa late 1990s or early. Ila wale wenyewe walikuwa wa early 1970s. Ila bado wapo wapoHakuna kitu huko. Sifa za mura Ni kutahiri kwa kisu bila ganzi, hawa wa miaka hii wanatahiri hospitali.
Mura og anakunywa damu mbichi iliyochanganywa na kinyesi cha ng'ombe (gichuri), hawa wa miaka hii wanakula chips yai
Dar kuna misikule inakula chips na mayai kila siku, jiji lina Watu wengi laki ni wajinga sana bora mbeya na mikoa mingine Kama huku mwanzaSema Watu wa Mwanza hawanaga Jambo dogo kama watu wa Dar