Machinga waanza kuisoma namba stendi ya Magufuli Mbezi Mwisho

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,641
Reaction score
6,694
Ikiwa bado tu hayati Magufuli hajazikwa, Machinga na wafanyabiashara wadogo katika stendi ya Magufulu kwa mabasi yaendayo mikoani tayari wameaanza kushikishwa adabu na mgambo wa jiji

Kiufupi hawatakiwi kufanya biashara zao ndani na nje ya stendi. Namba inasomwa kweli kweli

 
Hapa Chadema watashangilia sana kwamba wamemkomoa Magufuli, watoto wake wamelala njaa
 
Kwahiyo unafurahia siyo!
 
Habari ndiyo hiyo.



Wanaosema ooh sijui nani, hiki kituo ni cha kimataifa au wanaleta vurugu na kushusha hadhi, sasa hali ndiyo hiyo.

Mjipange.
 
Kuna maeneo naona bomoa bomoa imeanza ghafla.
 
Safi hii, mavinda yame tapakaa kila kona miji imekuwa hakuna utaratibu watu wanapanga bidhaa mpaka barabarani
 
Waambie wafute si ndio umeona ni baba zako
Ii nyuzi ni ya uchochezi ..mm nimetoka magufuli bus terminal leo sijaona kashilashi yoyote pale kati ya mgambo na wajasiria mali .....
 
Duhh! Lakini mh. Jpm aliwaruhusu
Ila alisema uwekwe utaratibu tatizo machinga wanataka wajiachie tu kama sokoni. Haiwezekani ufukuze wapiga debe uache machinga wakati wote wanyonge....ilikua ni suala la muda tu lazima wangeondolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…