tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
Ndio mkuuWewe nawe ni mnyonge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuuWewe nawe ni mnyonge?
Kwani alikuwa akiamini kwenye sanduku la kura?Magufuli alikua mjanja alijua akisema kila kitu cha wanyonge atawin na kweli aliwin. Kwa sababu hao ndio wapiga kura yani hawajali kukaa masaa 8 kusubiri foleni kumpigia mtu wao, na ndio hao wamejitokeza maelfu kumlilia na kukimbia kilometers kibao kwenye kumuaga. So alijua akiwa na hawa wasio jua ku-argue atatoboa.
Hao ndio walengwa siku zote ila walipuuuzwaMagufuli alikua mjanja alijua akisema kila kitu cha wanyonge atawin na kweli aliwin. Kwa sababu hao ndio wapiga kura yani hawajali kukaa masaa 8 kusubiri foleni kumpigia mtu wao, na ndio hao wamejitokeza maelfu kumlilia na kukimbia kilometers kibao kwenye kumuaga. So alijua akiwa na hawa wasio jua ku-argue atatoboa.
Magufuli alikuwa mjanja, alijua akisema kila kitu cha wanyonge atawin na kweli aliwin. Kwa sababu hao ndio wapiga kura yani hawajali kukaa masaa 8 kusubiri foleni kumpigia mtu wao na ndio hao wamejitokeza maelfu kumlilia na kukimbia kilometers kibao kwenye kumuaga. So alijua akiwa na hawa wasiojua ku-argue atatoboa.
Waajiriwa maisha mmeyapatiaHiyo ni stand sio soko, yaani hii awamu ya washamba imeharibu wamachinga wanajiona wana haki hata kupanga bidhaa mbele ya ofisi yako...sasa waambie watoe uone moto wao
Waajiriwa wako huko wanasubiria nyongeza mwaka wa 5 huu hakuna nyongezaWaajiriwa maisha mmeyapatia
Hapo watakua kweli wamewasaidi kimaendeleo,usisahau na kule ndani ya ikulu napo wapewe nafasi ya kuuza mbogamboga,matunda,mabegi etc[emoji16][emoji16][emoji16]Nadhani soon wanyonge waruhusiwe kufanya biashara Airport kumuenzi Hayati!.
[emoji3][emoji3][emoji3]
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.Ikiwa bado tu hayati Magufuli hajazikwa, Machinga na wafanyabiashara wadogo katika stendi ya Magufulu kwa mabasi yaendayo mikoani tayari wameaanza kushikishwa adabu na mgambo wa jiji
Kiufupi hawatakiwi kufanya biashara zao ndani na nje ya stendi. Namba inasomwa kweli kweli
Mkuu mbona kama unasoma dua la kuku?CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.
CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni mwaka huu wa 2020 kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.
It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when magambas will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.
What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava-made boat by which they were sailing!
Hawaruhusu yeye alikuwa na hati miliki ya Nchi huyo msukuma mwenzenu, watu wavunje sheria kisa waliruhusiwa kinyume Cha utaratibu,Duhh! Lakini mh. Jpm aliwaruhusu