Machinga waanza kumlilia Hayati Magufuli

Naona dalili za sisiemu kupoteza uchaguzi ujao.
Ni lini ccm iliwahi kutegemea kura za wamachinga kutangazwa washindi?

Ccm haishindi kwa kupigiwa kura miaka mingi tu sasa.

By the way naunga mkono na miguu uamuzi huu wa serikali ya ccm, nchi haiwezi kuwa kama gulio.

Vendors lazima wapangwe katika mpangilio na pedestrian wapate pia haki ya kutumia njia walizotengewa.
 
Wale ndugu zangu wa pale kariakoo kilio kitakuwa kikubwa mno.
Leo walikuwa wakipita wanawaandika majina.Na kuwaambia wajiandae kuelekea maeneo mapya watakayo pangiwa

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Kama kuna kitu cha maana utawala wa awamu ya sita wanafanya ni hili la wamachinga.

Magufuli alikuwa ni mtu anaipeleka hii nchi kuzimu.
 
WIZI WA KULA NA MATUMIZI YA VYOMBO VYA DOLA NAZO UNAITA FOMULA?

Shame on you!
ndio maana nikaziita kanuni, wao wanachotaka ni jibu tu , kwani nini maana ya kanuni, utegemee eti nitawanyima kura waogope ni kujidanganya tu, ndio maana kuwaambia mambo ya katiba mpya hamuelewani kabisa, kwani kutumia hizo kanuni itakuwa ngumu.
 

 
Sasa mkuu hasira zako unazileta kwangu tena?mimi nimeleta habari kama nilivyoshuhudia!!basi HAMUONDOLEWI na kila mmachinga mh.amesema atampa mtaji wa milioni 10;!!fulahi wewe, VIMBA, VIMBAAAA!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nani kakwambia me machinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…