Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Tukukumbuke kwa lipiMtanikumbuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukukumbuke kwa lipiMtanikumbuka
Vip makoroboi mkuu?Niko Mwanza, naona wanaondoka kwa hiari, wanavunja mabanda yao wenyewe, nyerere road nyeupeee
Rangi 3 ndo kinyaa kitupu hadi kwenye barabara ya mwendo kasi kumejaa maganda ya miwa...hao watu ni wachafu kufuru.Waambie wafe kabisa ili wakutane nae.
Nchi Imekuwa kama jalala
Acha mawazo ya kijima, kwani wakipoteza kuna ubaya gani?yani mambo yaende hovyo kisa uchaguzi?Naona dalili za sisiemu kupoteza uchaguzi ujao.
Ni wapi machinga walimpiga mfanya biashara ngumi? Hapa ni kwamba serikali imekurupuka kuwahamisha pasipo kuwatengea maeneo maalamu ya kufanya biashara waanze kwanza kuwaandalia maeneo ya kufanya biashara kisha wawahamishe pasipo hii ya kuwahamisha pasipo kuwaandalia sehemu yao maalamu.Kosa langu ni kuchapia tu (keyboard mistake !) Nimesema machinga milioni tano tena makadirio ya juu kweli wanasumbua watanzania wasio machinga milioni 55, sio wafanya biashara.
Makadirio ya sasa ya watanzania wote ni milioni 60 ndugu, sensa iliopita tulikuwa milioni 55+.
Nimesema f#ck all crazy machinga sijasema f#ck all machinga.
Hivi machinga anaempiga mtu ngumi kisa hajanunua biashara yake ni mzima akili mkuu? twende taratibu sasa naona umehamaki, ntakupa mifano mingi tu ili ujue kuna machinga wehu.
HahahahaHakunankitu kama hicho mkuu, kwani ushindi wa CCM, wala hautegemei kura za wananchi, wao wana fomula zao, ambazo hazionyeshi njia bali ni jawabu tu.
Wafe nao waende kuzimu
Mkuu kichwa chako kiko sawa ?Ni wapi machinga walimpiga mfanya biashara ngumi? Hapa ni kwamba serikali imekurupuka kuwahamisha pasipo kuwatengea maeneo maalamu ya kufanya biashara waanze kwanza kuwaandalia maeneo ya kufanya biashara kisha wawahamishe pasipo hii ya kuwahamisha pasipo kuwaandalia sehemu yao maalamu.
Tunachoiomba serikali ni kufanya maamuzi sahihi pasipo kuwaonea hawa vijana walioamua kujiajiri kupitia umachinhnga.
Serikali imesikia kilio chetu wananchi tulionyang'anywa kwa nguvu haki ya kutumia barabara na wamachinga.Mkuu kichwa chako kiko sawa ?
Wapi nimeandika machinga walimpiga mfanyabiashara ngumi?
kama ushindi wa ccm unategemea kuwalinda watu wanavunja na taratibu ns kukera wengine basi usipatikane tu, ila kumbuka kuna sisi pia tunaokereka na wamachinga kivamia maeneo yasiyostahili tutakaoipigia kura ccm!!Naona dalili za sisiemu kupoteza uchaguzi ujao.
Ni wapi machinga walimpiga mfanya biashara ngumi? Hapa ni kwamba serikali imekurupuka kuwahamisha pasipo kuwatengea maeneo maalamu ya kufanya biashara waanze kwanza kuwaandalia maeneo ya kufanya biashara kisha wawahamishe pasipo hii ya kuwahamisha pasipo kuwaandalia sehemu yao maalamu.
Tunachoiomba serikali ni kufanya maamuzi sahihi pasipo kuwaonea hawa vijana walioamua kujiajiri kupitia umachinhnga.
Hawa wa Mwanza nawafahamu vizuri sana. Nilikuwa mmoja wa watu waliowashauri waipigie kura CCM 2020 kwa Rais na Mbunge Mabula (tena huyu labda aanze kuaga kabisa kama suala la machinga litaendeshwa hivi). Hivyo, kwenye kampeni za 2025 usishangae wanatelekeza mikutano ya kampeni kama walivyotelekeza meza zao leo. Na sijui kama Mh. Mabula atakuwa na ubavj wa kuwashawishi tena nikifikiria kazi kubwa tuliyoifanya ya kumrudisha 2020.maeneo ya Mwanza naona tayari washapungua barabarani.... wengine wametelekeza meza zao
Jpm alikua na file mirembeHatimaye kilio cha machinga kumlilia JPM, chaanza kusikika, baada ya gari la matangazo kupita mitaa ya tandika na kuwaambia kuwa mwisho wa kupanga bidhaa zao, pembeni mwa barabara, mbele ya maduka, na kwenye hifadhi za barabara mwisho ni 18.10.2021.Hivyo wanatakiwa kuondoka mapema na kwenda sehemu walizopangiwa, baada ya muda huo, wasije kuilaumu serikali!!Ndipo wakaanza kuimba "tunakukumbuka jpm mtetezi wa wanyonge sasa haupo tumeanza kunyanyaswa" Sasa naona serikali imeamua kweli, ni jambo zuri sana kwani ilikuwa ni kero tupu.
Umenisikitisha mno kwa comment hiiJpm alikua na file mirembe
Wanamlilia mtu aliyewaruhusu kuvunja sheria??? Tena kwa kufanya biashara hata kwenye barabara za mwendo kasi???Hatimaye kilio cha machinga kumlilia JPM, chaanza kusikika, baada ya gari la matangazo kupita mitaa ya tandika na kuwaambia kuwa mwisho wa kupanga bidhaa zao, pembeni mwa barabara, mbele ya maduka, na kwenye hifadhi za barabara mwisho ni 18.10.2021.Hivyo wanatakiwa kuondoka mapema na kwenda sehemu walizopangiwa, baada ya muda huo, wasije kuilaumu serikali!!Ndipo wakaanza kuimba "tunakukumbuka jpm mtetezi wa wanyonge sasa haupo tumeanza kunyanyaswa" Sasa naona serikali imeamua kweli, ni jambo zuri sana kwani ilikuwa ni kero tupu.
Aliwalea sana yaani wafanyabiashara wanaolipa kodi, walionekana yatima nchi hii!!tena mimi nashauri wale watakaokaidi kuhama, hili zoezi lisimamiwe na MP kabisa!!!kwani wakitumia siasa hili zoezi litashindikana hasa kwa dar, kwani wao ndio wanajiona manunda sana!!Wanamlilia mtu aliyewaruhusu kuvunja sheria??? Tena kwa kufanya biashara hata kwenye barabara za mwendo kasi???
Kama aliwapenda kwann hajawaruhusu wakatandike biashara kwenye kuta za Ikulu???