Kila Mbongo
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 308
- 435
Kwamba Mabula hajawatetea kwa wanavyoondolewa?Hawa wa Mwanza nawafahamu vizuri sana. Nilikuwa mmoja wa watu waliowashauri waipigie kura CCM 2020 kwa Rais na Mbunge Mabula (tena huyu labda aanze kuaga kabisa kama suala la machinga litaendeshwa hivi). Hivyo, kwenye kampeni za 2025 usishangae wanatelekeza mikutano ya kampeni kama walivyotelekeza meza zao leo. Na sijui kama Mh. Mabula atakuwa na ubavj wa kuwashawishi tena nikifikiria kazi kubwa tuliyoifanya ya kumrudisha 2020.
Hatimaye kilio cha machinga kumlilia JPM, chaanza kusikika, baada ya gari la matangazo kupita mitaa ya tandika na kuwaambia kuwa mwisho wa kupanga bidhaa zao, pembeni mwa barabara, mbele ya maduka, na kwenye hifadhi za barabara mwisho ni 18.10.2021.Hivyo wanatakiwa kuondoka mapema na kwenda sehemu walizopangiwa, baada ya muda huo, wasije kuilaumu serikali!!Ndipo wakaanza kuimba "tunakukumbuka jpm mtetezi wa wanyonge sasa haupo tumeanza kunyanyaswa" Sasa naona serikali imeamua kweli, ni jambo zuri sana kwani ilikuwa ni kero tupu.
maeneo ya Mwanza naona tayari washapungua barabarani.... wengine wametelekeza meza zao
Hao siyo wapiga kura pekee ndani ya hii nchiNaona dalili za sisiemu kupoteza uchaguzi ujao.
Safi sanaWaambie wafe kabisa ili wakutane nae.
Nchi Imekuwa kama jalala
Ndio mnavyodanganyana sio,kwanza tangu lini machinga akapiga kura?Naona dalili za sisiemu kupoteza uchaguzi ujao.
Nipo pamoja na weweKama kuna watu wataiadhibu CCM kwa suala hili la wamachinga, basi na mimi nitaipigia kura CCM kwa mara ya kwanza hapa duniani
Wewe ndio zuzu,rudia tena kusoma jamaa kaandika niniWewe ndio kichaa hiyo hesabu ya milioni 55 uneitoa wapi? Tanzania kuna wafanyabiashara milioni 55? Next time usitumie matako kufikiri ngendere wa msoga wewe ambaye hata hujui figure
Safi sanaNiko Mwanza, naona wanaondoka kwa hiari, wanavunja mabanda yao wenyewe, nyerere road nyeupeee
Kichaa mwingine huyu hapa, eti "kazi ngumu ya kumrudisha tena 2020". Hivi 2020 kulikuwa na uchaguzi?Hawa wa Mwanza nawafahamu vizuri sana. Nilikuwa mmoja wa watu waliowashauri waipigie kura CCM 2020 kwa Rais na Mbunge Mabula (tena huyu labda aanze kuaga kabisa kama suala la machinga litaendeshwa hivi). Hivyo, kwenye kampeni za 2025 usishangae wanatelekeza mikutano ya kampeni kama walivyotelekeza meza zao leo. Na sijui kama Mh. Mabula atakuwa na ubavj wa kuwashawishi tena nikifikiria kazi kubwa tuliyoifanya ya kumrudisha 2020.
Huyo hana akili yupo kama KayafaKwamba Mabula hajawatetea kwa wanavyoondolewa?
Ulisikitishwa pia na ile kauli ya jpm "baki na mavi yako"?Umenisikitisha mno kwa comment hii
Kwahiyo machinga nchi nzima wanatoka hii mikoa?Sasa mji utapendeza. Warudi kwao arusha/Kilimanjaro nyumbani
wamachinga ni mpango wa CCM, hawana +ve impact kwenye uchumi wa nchi. wanatumiwa na waagizaji bidhaa kukwepa kodi, nguvu zao hazitumiki kuzalisha ili kuongeza uchumi ktk nchi. pia ni maficho ya vibaka.Hatimaye kilio cha machinga kumlilia JPM, chaanza kusikika, baada ya gari la matangazo kupita mitaa ya tandika na kuwaambia kuwa mwisho wa kupanga bidhaa zao, pembeni mwa barabara, mbele ya maduka, na kwenye hifadhi za barabara mwisho ni 18.10.2021.Hivyo wanatakiwa kuondoka mapema na kwenda sehemu walizopangiwa, baada ya muda huo, wasije kuilaumu serikali!!Ndipo wakaanza kuimba "tunakukumbuka jpm mtetezi wa wanyonge sasa haupo tumeanza kunyanyaswa" Sasa naona serikali imeamua kweli, ni jambo zuri sana kwani ilikuwa ni kero tupu.