GE2025 Machinga waelekezwa kwenda kawe Kujaza Uwanja hakuna kufungua Vibanda leo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Haki kama mnavyoona hapa kariakoaa aha ha πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ endeleeni kuchekea maCCM Narudia tena vikundi vyote Dar vimeagizwa kufika kawe bila kukosa maaana nauli wameshapewa we are still in the Stone age.

Your browser is not able to display this video.
 
Wataenda tu, wafanyeje sasa wakati wamezaliwa shitholeni bila hata kuchagua..
 
Wananchi wengi hapo watakwenda kuwachora tu na kuangalia nini kinaendelea...
Labda wengine kuangalia wasanii, lakini ccm imepoteza mvuto sana..
 
Haya ya wamachinga hayanishitua kama yale ya kumuhusu Mwendazake

kwa kifupu, niimesoma uzi wa britanicca kuhusu waliohusika kumundoa Mwendazaeke(uzi umeondolewa) nimebaki natafakari maana tuhuma ni nzito huku majina ya wahusika nikishindwa kuyaamini.

Ngoja labda ata-post na kwenye mtandao wa X.

Binadamu ni hatari sana
 
Huo upuz uache mitkasi zako uende kupigw jua huko

Ova
 
Haki kama mnavyoona hapa kariakoaa aha ha πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ endeleeni kuchekea maCCM Narudia tena vikundi vyote Dar vimeagizwa kufika kawe bila kukosa maaana nauli wameshapewa we are still in the Stone age.

View attachment 3456174
Traffic Alert: On the 28 Aug 2025, CCM will launch it presidential campaigns at Kawe Grounds -Tanganyika Packers. All roads leading to the grounds from Namanga Area, America Embassy, Mbezi beach darajani, Mikocheni B Area will be congested with traffic. Kindly use alternative routes to avoid traffic jams or leave very early in the morning around 5am at the latest. Most roads will be closed for long hours. Staff leaving the side of Mwenge, Africana, Massana Tegeta, Boko to Bunju will be mostly affected.
Security will be very tight
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…