Ccm japo ina madhaifu yake ila bado ina kubalika kwa kiasi kikubwa
?Ccm japo ina madhaifu yake ila bado ina kubalika kwa kiasi kikubwa
Mnatishia wananchi kuondoa uhai wao ili wakae kimya na kwa ukimya huo ndo nyie mnachukulia mnakubaliwa?Ccm japo ina madhaifu yake ila bado ina kubalika kwa kiasi kikubwa
Nimekutana na kundi la Wanawake kama 20 kutoka Kinyerezi kuelekea Kawe.Wengine walikuwa Wana lalamika hawana nauli .Haki kama mnavyoona hapa kariakoaa aha ha 😄 🤣 😂 endeleeni kuchekea maCCM Narudia tena vikundi vyote Dar vimeagizwa kufika kawe bila kukosa maaana nauli wameshapewa we are still in the Stone age.
View attachment 3456174
Unapimaje kukubalika kwakeCcm japo ina madhaifu yake ila bado ina kubalika kwa kiasi kikubwa
Labda wamepunjana tu pesa imeanza kumwagwa mtaani last two weeksNimekutana na kundi la Wanawake kama 20 kutoka Kinyerezi kuelekea Kawe.Wengine walikuwa Wana lalamika hawana nauli .
Mama akawa anasema anashukuru walau wamekuwa wengi maana alikuwa na wasiwasi hela za watu
HahahaaaCcm japo ina madhaifu yake ila bado ina kubalika kwa kiasi kikubwa
Na wengi wameenda majumbani kwao baada ya kupewa nauli,hakuna mwenye akili timamu anayeweza kwenda kupigwa jua huko eti kwenda kuwasikiliza hao watu,HAYUPOKwanini wasiende majumbani mwao
Sasa walio jazana pale kawe ni akina nami mzeeNa wengi wameenda majumbani kwao baada ya kupewa nauli,hakuna mwenye akili timamu anayeweza kwenda kupigwa jua huko eti kwenda kuwasikiliza hao watu,HAYUPO
Inakubarika kivipi? Kwa akili yako hao machinga wamependa.kufunga biashara? Au maelekezo
Kule kawe uwanjani nako kuna kukaguliwa kama hukufika, yaani upewe hela na usafiri bure afu usiende....thubutu!Kwanini wasiende majumbani mwao
Ndo mbuzi wa kafara hapo kama walimu wanavyoamrishwa kukimbiza mwenge na kuwahadaa pia wanafunzi waende huko ..... Obviously watz wengine ni wapuuziHaki kama mnavyoona hapa kariakoaa aha ha 😄 🤣 😂 endeleeni kuchekea maCCM Narudia tena vikundi vyote Dar vimeagizwa kufika kawe bila kukosa maaana nauli wameshapewa we are still in the Stone age.
View attachment 3456174
Waambie sumbawanga wanauzaga mvua za kichawiNatamani Mvua ingeshuka leo!
🫣🫣🫣🫣🫣 Yaleyale ya usafi jumamosi nazugazuga mpk muda upite ndo natoboa tunduni .... Hawa dawa Yao unakula pesa halafu unapota hiviUna uhakika wameenda kawe baada ya kufunga biashara
Ni majobless ambao hawana pa kwenda,kuliko ashinde ndani na hana uhakika wa kula NI BORA AKAPOTEZE MUDA HUKO huku akipata burudan za wasanii njaa.Tuliopitia ujobless tunalifahamu hiliSasa walio jazana pale kawe ni akina nami mzee
Huna akiliCcm japo ina madhaifu yake ila bado ina kubalika kwa kiasi kikubwa
Sina akili sababu mimi ni baba yakoHuna akili
Ni kina nani?Haya ya wamachinga hayanishitua kama yale ya kumuhusu Mwendazake
kwa kifupu, niimesoma uzi wa britanicca kuhusu waliohusika kumundoa Mwendazaeke(uzi umeondolewa) nimebaki natafakari maana tuhuma ni nzito huku majina ya wahusika nikishindwa kuyaamini.
Ngoja labda ata-post na kwenye mtandao wa X.
Binadamu ni hatari sana