machinist chini : pesa za mama samia zinazotokana na 10% ya mapato ya ndani zatafunwa halmashaur ya wilaya ya sengerema

machinist chini : pesa za mama samia zinazotokana na 10% ya mapato ya ndani zatafunwa halmashaur ya wilaya ya sengerema

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,118
Reaction score
1,797
Chanzo cha habar toka ndani ya ofis ya mkurugenzi halmashaur ya wilaya ya sengerema zinadai kwamba pesa zilizotolewa na mh rais wa jamhuri ya muungano kwa ajili ya kuwainua vijana , akina mama na wazee zinazotokana na 10% ta mapato ya ndani zimetafunwa na ofis ya mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya sengerema
Chanzo hiko kimedai kwamba wananchi wamekuwa wakirubuniwa mara kwa mara kwa kukaguliwa ili mradi wapate tu kuamini kuwa pesa hizo zipo kumbe zilishaliwa na wajanja

Chanzo cha habar kiliendelea kupasha habar kuwa, wananchi walipeleka maandiko yao ya mradi tangu mwezi wa 10 mwaka jana mpaka leo hii hakuna kitu

Chanzo kimeeleza halmashauri nyingi nchini zimeshatoa ispokuwa sengerema ndio changamoto

Chanzo hiko cha habar kiliiwaambia wale wote waliowasilisha andiko la mradi wawasiliane na ofisi ya wazir mkuu ili aunde tume kwa ajili ya kufanya uchunguzi kwenye halmashaur hiyo sababu mpaka leo hii hakuna dalili yeyote ya watu kupata pesa
 
Habari imekaa kimbea sana. Chanzo ndio kitu gani

Wewe ni mmoja wa walioomba na dawa sio kuleta majungu ili kupima, dawa ni kwenda ofisini kuulizia ba kama wanakupa jibu hulielewi si upande mkoani
 
Back
Top Bottom