DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mwambie Mdee atafute kazi nyingine tu hatutaki hata kumsikia.
Ndondocha wee
Karibu umejiandikisha kituo gani huku Jimbo la Kawe?Tutaona km kula anapiga familiya yako tu.
Mimi siihitaji ubunge mimi naajiri watu.We unataka nini Halima yuko bungeni tangu 2005 wewe je ? Hata UDAS mapombeko kakunyima
Mimi siihitaji ubunge mimi naajiri watu.
Mimi naombea ateuliwe mchungaji Gwajima ili ageuze misikiti ya Kawe kuwa Sunday school kama aliyosema.
CCM wakitaka washindwe asubuhi basi wampitishe huyu Gwajima
Akuna ajuwae kesho yake tulia!!!Ninachojua hili jimbo linarudi CCM. Na Gwajima atashinda. Mdee sasa apige kampeni Chadema ipate walau viti 10 vya ubunge ili Mbowe amteue viti maalum.
Hamtaki wewe na nani kwa kura yako moja?Mwambie Mdee atafute kazi nyingine tu hatutaki hata kumsikia.
Ninachojua hili jimbo linarudi CCM. Na Gwajima atashinda. Mdee sasa apige kampeni Chadema ipate walau viti 10 vya ubunge ili Mbowe amteue viti maalum.
Kwa hiyo wakata mauno kwa mfumo wa porn stars kwa upande wa CCM Kawe wamefikia wawili mpaka jioni hii?Mwijaku kawa mbea hadi mdomo umeenda upande. Yule jamaa aisee dah!
Hutaki wewe na nani pumbavu kabisaMwambie Mdee atafute kazi nyingine tu hatutaki hata kumsikia.