Uchaguzi 2020 Macho na Masikio yangu katika Uchaguzi Mkuu huu Ujao yatajikita zaidi katika Jimbo la Kawe kwa Ubunge na Udiwani kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Macho na Masikio yangu katika Uchaguzi Mkuu huu Ujao yatajikita zaidi katika Jimbo la Kawe kwa Ubunge na Udiwani kupitia CCM

Mimi naombea ateuliwe mchungaji Gwajima ili ageuze misikiti ya Kawe kuwa Sunday school kama aliyosema.

Naona huwajui hao wenye hiyo Misikiti ya Kawe walivyo Mahiri wa Kupiga ' Vipapai ' Watu wanaowachokoza hasa Wale wanaowaita sijui Makafiri.
 
CCM wakitaka washindwe asubuhi basi wampitishe huyu Gwajima

Na hivi 60% ya ' Population ' ya Kawe ni ' Muslims ' halafu hata hawamkubali kwakuwa nae Gwajima hawakubali CCM inaweza Kulipoteza Jimbo.
 
Ninachojua hili jimbo linarudi CCM. Na Gwajima atashinda. Mdee sasa apige kampeni Chadema ipate walau viti 10 vya ubunge ili Mbowe amteue viti maalum.
Akuna ajuwae kesho yake tulia!!!
 
Alima anatakiwa awajize raia kuwa beach boy alisema ataifanya nini misikiti!!
 
Ninachojua hili jimbo linarudi CCM. Na Gwajima atashinda. Mdee sasa apige kampeni Chadema ipate walau viti 10 vya ubunge ili Mbowe amteue viti maalum.

Inayumkinika. Umesema “unajua” atashinda. Bila shaka unao undani wa haya mambo. Je, unajua pia kama Gwajima atakuwa heri kushindishwa kwa nguvu ya dola? Halafu inawezekana akatuimbia kuwa ameshinda kwa nguvu za ...?
 
Interesting. Yaelekea Wakuu wengi hapa hawaamini kuwa kuna tofauti kati ya ushindi wa kura na ushindi wa kutangazwa! Watu wa chama dola wanaongea kwa kujiamini kabisa kuwa Halima akatafute kazi nyingine, huku wa upinzani/CDM wakidai ushindi kwa Halima ni asubuhi mapema na kusisitiza wenzao (CCM) hawaijui Kawe!

Makamanda, mimi naamini kabisa kuwa Halima atapata mafuriko ya kura. Lakini ushindi hasa ni ukitangazwa. Swali ni: hivi dola ikiwa kinyume kabisa na Halima, anashindaje iwe asubuhi au jioni?
 
Mwijaku kawa mbea hadi mdomo umeenda upande. Yule jamaa aisee dah!
Kwa hiyo wakata mauno kwa mfumo wa porn stars kwa upande wa CCM Kawe wamefikia wawili mpaka jioni hii?
Yaani Mwijaku na mzee wa Afifiro?
 
Mimi sikupenda aina ya utawala wake lakini nimeenda jana kuaga uwanja wa uhuru!
Watanzania ndivyo tulivyo,mtu akishakufa basi tunajaribu kukumbuka mazuri yake tu!
 
Back
Top Bottom