Misimamo yake ya kulipenda taifa na kusema ukweli. I don't believe kama hii is his natural death, rogue elements within and abroad might be behind this dire circumstance, completely a big blow kwa taifa
Ww dish lako limeyumba sana I see!hata misiba ya wezi inakuwaga na watu mkuu tena wengi tu, ni kweli wapo wengi waliompenda na wewe ukiwepo lakini pia wapo wengi tu waliomchukia na katika marais wote waliotawala Tanzania marehemu aliongoza kwa kuchukiwa. Kafa Nyerere, Mkapa je uliona watu wakinywa bia kufurahia vifo vyao? uliona watu wakikamatwa kwa kosa la kufurahia vifo vyao?
Hayo ni maamuzi ya mfiwaji hata magufuli wangeamua waagie pale manzese darajani watu wangehudhudia tuuna huwa wanaagiwa kwenye uwanja wa taifa kama marehemu magufuli.
pole mkuu.kunywa maji hasira zitaelea.Hayo ni maamuzi ya mfiwaji hata magufuli wangeamua waagie pale manzese darajani watu wangehudhudia tuu
na wengine tumekuwa wavivu kukaa nyumbani,tuone kupitia tv.hali ingekuwa mbaya zaidi kila mtu angeenda huko.Ww dish lako limeyumba sana I see!
Hajawahi tokea rais aliyependwa kama Magu Tz isipokuwa JK Nyerere!
Nikupe pole wewe ndugu yangu haya mambo ya kawaida kwangu kila ikitokea hivi nakuwepo pale mstari wa mbele kabisapole mkuu.kunywa maji hasira zitaelea.View attachment 1730986
kwamba umekubali kua hata madikteta wakifa hua wanaliliwa ila kwako ishu ni idadi?Idi Amin wanamlilia kwa kiwango hiki cha Magufuli?
acha ujinga bana id amini aliliwa na nani???kwamba umekubali kua hata madikteta wakifa hua wanaliliwa ila kwako ishu ni idadi?
Pumbavu! Mandamano ya mbeligiji je? Walihamasishwa hawakuhamasishwa?!Watanzania chochote utakachowahamasish,hasa kisichotumia mtaji,wanahamasika. Hata aje Id Amini dada leo au Hitler na itangazwe na ihamasishwe kama hivyo,watajitokeza zaidi ya hapo.
Nakuonaga mwehu kumbe una akili hivi!!!??
Samahani
Walio wengi hawajaamini kuwa Fascist kuwa kafa,wanaenda kuhakikisha hivi ni kweli maana wengi kwa yale majivuno yake ya kutesa watu na kuua watu hawakudhani kama angekufa tena mapema kiasi hiki.
Hakuna hela yyte mtakayopigaMbona roho kama ya Bundi?
katika hayo mapungufu ya hapa na pale kuna watu wameuliwa kashindwa kuwapa hiyo nafasi ya kupiga hatua moja zaidiJapo alikuwa na mapungufu ya hapa na pale, lakini alikuwa nia ya kutupa hatua moja zaidi katika maendeleo,
Sidhani kama kuna mtu kama yeye ndani ya ccm.
Naona una hamu ya kukung'utwa kwa nyumanaona jinsi LGBT PEOPLE MNAVYOMUANDAMA MWENDAZAKE.
Sijui upo juu kiasi gani, lakini bado si ushahidi unaokubalika kitakwimu.Mimi si kipofu wala si kiziwi.
Uwezo wangu wa kuona na kusikia upo juu.
Alililiwa na watu ambao walikuwa wanahesabu mazuri yake. Kwani unafikiri iddi amin alikuwa katiri kwa kila mtu?acha ujinga bana id amini aliliwa na nani???