Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Mkuu hoja yako kubwa ni ipi hasa?na inahusiana vipi na comment yangu?
Mi nadhani tuendelee kuamini mila na desturi zetu hasa mtu anapofariki ndo zinazotufanya hivyo.Ukitaka kila mmoja approve kwa namna anavyompenda au anavyomchukia nadhani utakuwa si ustaarabu na kinyume cha mila zetu.Hata hivyo “wanaomtuchukia “kama wapo hawajapewa nafasi hivyo ya kuonyesha namna wanavyomchukia,hata hivyo hawawezi kupata nafasi hiyo.Tuendelee kuamini tunampa heshima ya mwisho kiongozi wetu kuliko kutaka ku-prove idadi wa wanaompenda wapo wangapi!