Macho yangu yananidanganya?


Hujui kama kina Mtikila waliwekwa ndani wakati wa msiba wa Nyerere au ulikuwa mtoto? Hujui kama huyu huyu Lissu alimdhihaki sana Nyerere,hamna lolote,endeleeni na chuki zenu hazibadilishi chochote.Acheni watu wamlilie Shujaa wao
 
Wivu hata kwa maiti!
 
Maneno ya mtu mwenye roho ya kutu hayo.
Kama ni "mweusi" niache nikiwa hivyo hivyo "mweusi" nakama ni "mweupe" niache hapo hapo kwenye "weupe" ila kamwe sipendi "ukijivu"

Nimekataa kuwa mnafiki hata ule wa kuigiza nimeshindwa aisee

Wanaojidai wana show love eti kwasababu mtu kafa na sio vizuri kumsema kwa mabaya yake huo ni USNITCH wanafake upendo

Upendo mwingi huja watu wakiona umekufa, hukupa maua wakati wanajua huwezi kuyanusa...
 
Hujui kama kina Mtikila waliwekwa ndani wakati wa msiba wa Nyerere au ulikuwa mtoto? Hujui kama huyu huyu Lissu alimdhihaki sana Nyerere,hamna lolote,endeleeni na chuki zenu hazibadilishi chochote.Acheni watu wamlilie Shujaa wao
Lissu alimdhihaki Nyerere, lakini kwa vile alijuwa anapendwa wakati wa kampeni alienda mpaka nyumbani kwake na familia yake ikampokea kwa moyo mkunjufu.
 
Mtaani kwetu asubuhi ya saa 12 kasoro taarifa zilizagaa kwamba kuna Bibi kanasa juu ya Paa la nyumba.

Baada ya nusu saa watu kibao walimiminika kuja kushuhudia Bibi mchawi akiweweseka juu ya paa asijue la kufanya.

Najaribu kuwaza umati ule walikuwa wanampenda sana kuliko kazi zao,masomo au biashara.

Ninachojua wakaazi wengi wa Dar au mijini wanaweza kufurika mahali kushangaa ajali.
 
Kwa suala la watu kujaa hilo hata akitua shetan watu watajaa tu na hasa kwa hulka ya watanzania ?

Nadhani unakumbuka vyema ujio wa lisu watu walijaa kweli hadi tukasema huyu ndiye ingawa sas alicho pata baada ya watu kujaa anakijua mwenyewe

Watanzania watakudanganya sana kama ukidhani kujaa kwao ndio kupendwa kwako.
 
Ahsante kwa maoni yako.
 
Anything is possible.

Unadhani itachukua muda gani watu kuanza kusema ‘nataka ni Magufuli angekuwepo’.?
Soon and very soon .. kitu kingine ni kwamba upendo kwa watu Magufuli wasn't love at the first sight, he earned it ..

So many people who hated him 5 years ago couldn't hate him now, even if they didn't have the courage to go out and aploud the man they publicily hated 5 years back, but at least they couldn't hate him, he earned the love.. Mie ni mmoja wao, from hatred to his number one fan

I regret the fact that I couldn't express what I felt publicly until he is gone!

Forever in our hearts!

Rest In Power Magufuli!
 
Naona watu hata hamzingatii muktadha.

Hivi kwa mfano watu wangekuwa wachache sana waliojitokeza kwenye huu msiba, mngekaa kimya bila kutia neno kuwa alikuwa hapendwi?
 
Yote mia,, lazima upendwe na lazima uchukiwe,, huku Mbeya kuna siku watu waliaambiwa kwenda Sokoine uwanjani,,mpaka na bodaboda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…