eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Naona una hamu ya kukung'utwa kwa nyuma
Ukombozi wenu umewadia, endeleeni kugonga bilauri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona una hamu ya kukung'utwa kwa nyuma
hata misiba ya wezi inakuwaga na watu mkuu tena wengi tu, ni kweli wapo wengi waliompenda na wewe ukiwepo lakini pia wapo wengi tu waliomchukia na katika marais wote waliotawala Tanzania marehemu aliongoza kwa kuchukiwa. Kafa Nyerere, Mkapa je uliona watu wakinywa bia kufurahia vifo vyao? uliona watu wakikamatwa kwa kosa la kufurahia vifo vyao?
Wivu hata kwa maiti!Yaani mnafurahia Rais kuzungushwa mitaani kama sanamu ya mapambo huku akiwa tayari ni marehemu!! Eti mpime ni kwa namna gani anapendwa!!
Inasaidia nini? I wish akapumzishwe mapema iwezekanavyo, na kama ilivyo mila na desturi zetu kama Watamzania/Waafrika.
Machoz ya furaha plus nchi iliendeshwa kidikteta lazima ulie hata kinafki tu la sivyo usipolia waweza kamatwa na masaliaNa yale machozi n ya furaha au huzuni.?
Kama ni "mweusi" niache nikiwa hivyo hivyo "mweusi" nakama ni "mweupe" niache hapo hapo kwenye "weupe" ila kamwe sipendi "ukijivu"Maneno ya mtu mwenye roho ya kutu hayo.
Lissu alimdhihaki Nyerere, lakini kwa vile alijuwa anapendwa wakati wa kampeni alienda mpaka nyumbani kwake na familia yake ikampokea kwa moyo mkunjufu.Hujui kama kina Mtikila waliwekwa ndani wakati wa msiba wa Nyerere au ulikuwa mtoto? Hujui kama huyu huyu Lissu alimdhihaki sana Nyerere,hamna lolote,endeleeni na chuki zenu hazibadilishi chochote.Acheni watu wamlilie Shujaa wao
Ahsante kwa maoni yako.Kwa swala la watu kujaa hilo hata akitua shetan watu watajaa tu na hasa kwa hulka ya watanzania ?
Nadhani unakumbuka vyema ujio wa lisu watu walijaa kweli hadi tukasema huyu ndiye ingawa sas alicho pata baada ya watu kujaa anakijua mwenyewe
Watanzania watakudanganya sana kama ukidhani kujaa kwao ndio kupendwa kwako.
Soon and very soon .. kitu kingine ni kwamba upendo kwa watu Magufuli wasn't love at the first sight, he earned it ..Anything is possible.
Unadhani itachukua muda gani watu kuanza kusema ‘nataka ni Magufuli angekuwepo’.?
Cheki masela hawa wa bodaboda...
Huyu ndo mtu aliyekuwa anachukiwa kiasi hicho?
Am I losing my mind or something?
Naona watu hata hamzingatii muktadha.Mtaani kwetu asubuhi ya saa 12 kasoro taarifa zilizagaa kwamba kuna Bibi kanasa juu ya Paa la nyumba.
Baada ya nusu saa watu kibao walimiminika kuja kushuhudia Bibi mchawi akiweweseka juu ya paa asijue la kufanya.
Najaribu kuwaza umati ule walikuwa wanampenda sana kuliko kazi zao,masomo au biashara.
Ninachojua wakaazi wengi wa Dar au mijini wanaweza kufurika mahali kushangaa ajali.
Ni wa aje sasa? Bodaboda wa ajabu?Hivi hawa unafikiri ni boda boda wa kawaida !.
Pale uhuru leo palitapikaMambo ndo hayo sijui wa DW na BBC watasemajeView attachment 1730904View attachment 1730905View attachment 1730907View attachment 1730909View attachment 1730908View attachment 1730911View attachment 1730910
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wa aje sasa? Bodaboda wa ajabu?
negligence ni ya marehemu kwa kutochukua tahadhari juu ya korona. Sayansi haitaki ubishi, ukibishana nayo itakuumbua na ndicho kilichotokea
Huna issue mmeaibika mbayaMimi mwenyewe nilienda Uhuru jana kumuangalia ili nijiridhishe akifa anafananaje? Kwa kule kujimwambafai naachaje kwenda kumuona. Yani nilitaka tu nijue akifumba macho anakuwaje mwamba yule!