Macho yangu yananidanganya?

Hakika kiongozi, hizo ndio siasa za chuki.
 

Dharau nyingine bwana,haya wewe usiye na “akili za kawaida na za chini” huo upeo wako mkubwa umekufikisha wapi? Halafu nyinyi ndiyo mje kwa hawa hawa wenye akili za kawaida na za chini uwaombe ridhaa ya kushika madaraka ya Nchi hii.Mtasubiri sana.
 
Aliminya democracy na waliomchukia ni wale waliokua wanamkosoa ila mengine alikua mtu poa.
Huwezi ukadai demokrasia ya kwenda kunya juu ya kaburi la mwenzio au demokrasia ya ushoga ukaachwa tu huo ni ukichaa
 
Kwisha kabisa MATAGA, mlizoea kusambaza siasa za chuki kwa watawala ili muendelee kupewa buku 7 za lumumba.


Sasa huyu mama hana mpango wa kuwa na wafanya propaganda za majungu.
Yani mtu yoyote mwenye hoja tofauti na ww,unamuita MaTaga!!haha 😃😃
 
Kwahiyo propaganda ya CHADEMA haifui dafu kwa ile ya CCM. Go back to the drawing table. Defeat propaganda with high quality propaganda. Your problem is you have an alcoholic for a leader. Yeye saa zote anawaza uLABU tu.
 
Gwajima si amfufue huyu, watu wanajazana kushangaa muovu na katali kama amekufa kweli, watu hawaamini kama kaenda msukuma mwenzio mwenye asili ya Burundi.

Mimi nimefurahi sana anaenda na mavi yake. Na Sisi tubaki na mavi yetu.
Utasema mengi sana ya kebehi lakini utakufa tu Magufuli hakuchaguliwa kuja kukulidhisha wewe
 
Mimi mwenyewe nilienda Uhuru jana kumuangalia ili nijiridhishe akifa anafananaje? Kwa kule kujimwambafai naachaje kwenda kumuona. Yani nilitaka tu nijue akifumba macho anakuwaje mwamba yule!
Baada ya hapo umepata nini cha kukufaidisha maisha yako yote?
 
Watanzania siyo manafiki. Wewe siku zote ulidai kuwa yule msaliti na mlevi alipendwa kuliko Magu. Alcoholic wenu alidai Magu hakushinda, maana hapendwi. Sasa Watanzania wanawaonyesha mliyoyasema si kweli wao walimpenda Magu na kumchagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…