Macho yangu yananidanganya?

NI MAAJABU Rais kufariki hivyo wakati mwingine sio MAPENZI kwake bali ni shauku ya kushuhudia mwili kwa macho
 
Unnecessarily complicating things.
 
"Hawa watu wanaoenda kumpokea Tundu Lisu wameenda kumshangaa tu kura zote kwa JPM"

Mwisho wa kunukuu

Inawezekana pande mbili

Hizi mada tuache kwa heri.
 
Mi simpendi ila nimeenda kuaga na nusura nizimie
 
kwa namna lilivyowashuka,hamuoni namna yoyote ya kujifariji zaidi ya hii ya kujidanganga.

denial wont save your asses.
 

Unatumia nguvu kubwa sana kujibu swali langu,Nimekuuliza Kwa Magufuli ni Unafiki ila walioenda kumpoke Lisu ni “upendo wa dhati” siyo? Haya jibu hapa tuendelee sasa na mengine
 
Hii imeonesh kuwa Tanzanian people ni rahisi kuwaraghai kisiasa na wakakubali bila kupinga.
Kwa hilo late jpm alikuwa master class na aliweza hasa wale wanajiita wanyonge.
 
Sasa hata kama anapendwa yuko wapi? Nyie wajinga mbona mnazidi kujiaibisha kiasi hiki?

Kujiaibisha kuhusu nn acha ufala na upimbi kufa haimaanishi km ww ni mbaya kwa Mola kumbuka mtume Mohammad,Yesu,nabii Ibrahimu wote walichukuliwa roho zao sas iweje uccoment upumbav wako
 
Kwakweli nikiri kwa kinywa changu JPM alikua kipenzi cha wengi na watanzanja tumeumia sana , its so sad for sure. Nipo nacheki kwenye TV yan wakazi wa Dodoma wameunga msafara bodaboda wamegoma kutoka kwenye msafara wameunga nao kabisa. Go go JPM tulikupenda ila Mungu kakupenda zaid, jina lake lihimidiwe. Amen.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Machoz ya furaha plus nchi iliendeshwa kidikteta lazima ulie hata kinafki tu la sivyo usipolia waweza kamatwa na masalia
Kama hichi ndicho ulichokiona kwenye machozi ya watanzania bc una matatizo ya akili
 
Naangalia hapa dodoma ni hatari na ukizingatia ni usiku.
Sijui Mwanza mtoto wa nyumbani akiwasili itakuwaje.
 
Kujiaibisha kuhusu nn acha ufala na upimbi kufa haimaanishi km ww ni mbaya kwa Mola kumbuka mtume Mohammad,Yesu,nabii Ibrahimu wote walichukuliwa roho zao sas iweje uccoment upumbav wako
Pumbavu ni wewe KIWEWE
 
Hiyo ni mbinu ya kisiasa ya chama tawala.tumia fursa kwa wasiojua maana ya unachofikiri.
 
What a hype.

Radio zote, TV, magazeti, wasanii, nyimbo za bongo fleva. Nguvu ya dola.

Bado tu mliamini watu hawatakuja.

Why mnahangaika sana ku-prove wrong kwamba Magu alipendwa.

Jamani hakuna mtu anayechukiwa na dunia nzima. Hayupo.

Ila mnaforce hype utafikiri WCB au Clouds wanaingiza sokoni msanii mpya.

Relax.

Hii nguvu yote ni kwa-prove wrong watu wanaomiliki vi-account vya Twitter [emoji846][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]
 
Unatumia nguvu kubwa sana kujibu swali langu,Nimekuuliza Kwa Magufuli ni Unafiki ila walioenda kumpoke Lisu ni “upendo wa dhati” siyo? Haya jibu hapa tuendelee sasa na mengine
Tatizo hoja iliyo simamishwa kwa tumiwa nguvu kubwa unataka kuifikiria kwa nguvu ndogo na ndio pengine huoni jibu
 
Dar watu hawana cha kufanya wako idle sana aliyeishi dar anajua watu wanashinda wamelala tu kwenye vimvuli vya miti kwa hiyo wakisikia ka kitu kokote kanakuhusu mikusanyiko ambayo haina malipo lazima waende kupoteza muda!
 
Izo link kazituma nyani ngabu apigwi bani ila ningezituma mm izo link ningepigwa bani moja matata sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…