Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unnecessarily complicating things.Unapohutubia angalia aina ya makofi unayopigiwa , kuna wanaopiga makofi ili kukupongeza lakini wengine wanakupigia ili umalize hotuba ujiondokee zako na wao wachukue hamsini zao , kule kwetu Kyela kuna mnyama anaitwa Kindingo , huyu alisumbua watu sana kwa kula mifugo yao , sasa siku aliponaswa wilaya nzima ya Kyela ilikusanyika Kajunjumele ,
........Itaendelea ....
Akili za usukununu hiiiPole sana, huna habari we will still rule this nation?
Alafu huna habari kuwa majority ni sisi kwenye hili taifa?
wachache wameguswa ila wengi ni ma snitch hata humu wamo hata wewe unaweza ukawa mmoja wao
Kuna watu wameonesha kuguswa kwa mambo yao binafsi ya ki financial kwenye maswala yake ya ulaji ambayo yanaonesha wazi kwamba endapo wangepata uhakika wa kuendelea kuwa favored na huu utawala wasingeweza kuona pengo la JPM
Imagine mtu anakuambia anahuzunika kifo cha jpm kwasababu alikuwa na uhuru kufungua kibanda kando ya ofisi ya takukuru. Mtu huyu anatuonesha kwamba hana utu wala upendo bali anajari maslahi yake ameonesha hana uhakika wa kuendelea kudumu kwenye hicho kibanda kwa utawala wasasa na ndio kitu kinachomfanya aone thamani ya jpm.
Kwa maana kuwa huyu mtu angehakikishiwa kuendelea kubaki kwenye hicho kibanda asingeweza kuumia swala la jpm kufa
Sasa hata kama anapendwa yuko wapi? Nyie wajinga mbona mnazidi kujiaibisha kiasi hiki?
Kama hichi ndicho ulichokiona kwenye machozi ya watanzania bc una matatizo ya akiliMachoz ya furaha plus nchi iliendeshwa kidikteta lazima ulie hata kinafki tu la sivyo usipolia waweza kamatwa na masalia
💩💩💩Wanaolia hawafiki hata 0.01% ya watanzania.
Pumbavu ni wewe KIWEWEKujiaibisha kuhusu nn acha ufala na upimbi kufa haimaanishi km ww ni mbaya kwa Mola kumbuka mtume Mohammad,Yesu,nabii Ibrahimu wote walichukuliwa roho zao sas iweje uccoment upumbav wako
Hiyo ni mbinu ya kisiasa ya chama tawala.tumia fursa kwa wasiojua maana ya unachofikiri.Niseme tu pia kuwa sipendelei mwili wake kuzungushwa zungushwa sehemu tofauti nchini, lakini naelewa.
Ila, if Dar is anything to go by, this guy was loved!
Leo mabodaboda wameongoza msafara wake kwenda uwanja wa Uhuru, tena kwa amani kabisa.
Wala hawakubugudhiwa na Askari.
Tatizo hoja iliyo simamishwa kwa tumiwa nguvu kubwa unataka kuifikiria kwa nguvu ndogo na ndio pengine huoni jibuUnatumia nguvu kubwa sana kujibu swali langu,Nimekuuliza Kwa Magufuli ni Unafiki ila walioenda kumpoke Lisu ni “upendo wa dhati” siyo? Haya jibu hapa tuendelee sasa na mengine