Huko msibani kila mtu ana mambo yake. Ndio maana kuna wengine wamepiga picha ya maiti, inazagaa mitandaoni.
Tiss wa nchi hii ni takataka tu
Mkuu una hakika umekula leo mchana ??..inawezekana Tiss ndio wamepiga hizo picha na kuzisambaza.
..wananchi wanaokwenda pale wana majonzi yao, hawana muda wa kupiga picha.
Ukweli na uongo imedhihirika kipindi hiki cha msiba .Niwateue mimi, magari niwape mimi, mshahara niwalipe mimi.. halafu mje mtangaze mpinzani ameshinda.
Kusema cha ukweli jamaa hakupenda upinzani wala Kukosolewa.. (acha unafiki)
Na Ili iwe dhambi kunapaswa mtu afanye mambo yepi?
Sawa, tiss hawana simanzi wala uchungu na msiba..wananchi hawa wenye uchungu na simanzi ya msiba hawawezi kupiga picha maiti ya raisi.
Umbea huo huo na ushabiki ndo unawapa ushindi CCMWatanzania ni wapenda ushabiki na umbea, ndicho kinachowajaza uwanjani na mabarabarani hakuna kingine
Hebu kufa wewe tuone kama watakuja kusaka huo umbeya kwa maelfu.Watanzania ni wapenda ushabiki na umbea, ndicho kinachowajaza uwanjani na mabarabarani hakuna kingine
Hili ni tukio la kwanza kwa taifa letu kuondokewa na rais akiwa madarakani.Wapiga kelele wa mitandaoni walikuwa wanadai kaiba kura. Sasa hao walioko barabarani ni kura za Mbunge wa wilaya nzima.
Labda wamekuja kusherehekea kuwa kaondoka! lakini wasingekuwa wanalia
Wakati wa kifo cha Nyerere, vijana walikuwa wanasema, kwa heri babu- umetuacha wakiwa. Kwa Magufuli wanasema kwa heri jembe-umetunyooshea nchi.Hili ni tukio la kwanza kwa taifa letu kuondokewa na rais akiwa madarakani.
Msiba hauzoeleki.. Hisia ni kubwa hata kama hujapanga kulia kupitia machozi ya wengine nawe utalia.
Kuhusu kura na uchaguzi tusijadili sababu ccm huwa hawataki ushindani.
Kama uliona watu waliojitokeza kumuaga MAALIM SEIF pale Zanzibar na ndio alishindwa uchaguzi huwezi kuwa lopolopo hapa..Ukweli Magufuli anachukiwa na wenye smart foni na humu jf jumlisha wasomi na wakosoaji wa kila kitu ambao ni 10% tu ya watanzania na wanaojua kizung. Lakini 90 ambao s wa Elimu bure , samaki,bodaboda,wauza samaki na machinga ambao walikua wanafukuzwa km kuku enzi za kikwete Magu akawaheshimisha wakawa wako huru ktk riziki zao ndo wanamkumbuka haswaaa!!wanalia mnooo!!
Nimeshuhudia kwa macho yangu sijasimuliwa!!mpk nimeshangaa sisi wenye wazazi masikini wauza mboga mboga ndo walikua wanamuelewa mnoooo!!!sijui nisemeje yaani!!!Ila amejua kuumbua watu yaani leo!! Hapo Dar tu!ktk hii nchi hata afe nani hakuna atakaefunga ile bustaa ya Leo!
wewe ndio umecomplicate na mimi nimekupa mambo yanavyokuwa , nimesema Itaendelea ... Je ungependa iendelee ?Unnecessarily complicating things.
Acha kabisa nimekua apo nimesurre madreeMkuu, ndio natoka uwanja wa uhuru sasa na sijafanikiwa kumuaga ngosha watu ni wengi sana. Wengi sana na wanaoondoka bila kumuaga pia ni wengi....
Kupata maoni ni kitu muhimu, lakini sifikiri ni sahihi kupata maoni toshelezi hapa Jamhuri ya JF. Don't waste your time.Idi Amin wanamlilia kwa kiwango hiki cha Magufuli?
Wanaosema amenyoosha nchi sio waliopita bila kupingwa kama BABU TALE, FA, GWAJIMA..Wakati wa kifo cha Nyerere, vijana walikuwa wanasema, kwa heri babu- umetuacha wakiwa. Kwa Magufuli wanasema kwa heri jembe-umetunyooshea nchi.
Vipi zile hostel zimeanguka?!Mimi mwenyewe nilienda Uhuru jana kumuangalia ili nijiridhishe akifa anafananaje? Kwa kule kujimwambafai naachaje kwenda kumuona. Yani nilitaka tu nijue akifumba macho anakuwaje mwamba yule!