Macho yangu yananidanganya?

Macho yangu yananidanganya?

Huko msibani kila mtu ana mambo yake. Ndio maana kuna wengine wamepiga picha ya maiti, inazagaa mitandaoni.

Tiss wa nchi hii ni takataka tu

..inawezekana Tiss ndio wamepiga hizo picha na kuzisambaza.

..wananchi wanaokwenda pale wana majonzi yao, hawana muda wa kupiga picha.
 
..inawezekana Tiss ndio wamepiga hizo picha na kuzisambaza.

..wananchi wanaokwenda pale wana majonzi yao, hawana muda wa kupiga picha.
Mkuu una hakika umekula leo mchana ??
 
Niwateue mimi, magari niwape mimi, mshahara niwalipe mimi.. halafu mje mtangaze mpinzani ameshinda.

Kusema cha ukweli jamaa hakupenda upinzani wala Kukosolewa.. (acha unafiki)
Ukweli na uongo imedhihirika kipindi hiki cha msiba .

Kwa umati ule unaomlilia kweli alijitangaza mshindi?
 
Kosa mtakalolifanya Ni kuanza kuingiza siasa kwenye msiba wa mzee wetu.
 
We vaa jina lake ugombee 2025,, maana yeye Mungu kamchukua.
Kuendelea kumdedend hapa hakukusaidii chochote.

Anyway waliojaa barabarani haimaanishi wote wanampenda. Alikuwa nimtu famous sana hapa Tanzania, hivyo wengi wangependa kwenda kwenye msiba wake.
Kijijini kwetu alikufa jambazi na watu walijaa msibani kama kawaida na vilio kibao tu.
Wapo wengi ambao pia hawaamini kama amefariki.


Lakini ukitathmini idadi kubwa ya ambao hawakumpenda lakini hawakumwombea kifo ni hawa wasomi wetu. (Msomi huwezi kumghilibu,, labda aamue mwenyewe.)

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wabongo hata kama lingekua bomu linalipuka wangejaa kushangaa so watu kujaa sio kipimo Cha kupendwa bro
 
Wapiga kelele wa mitandaoni walikuwa wanadai kaiba kura. Sasa hao walioko barabarani ni kura za Mbunge wa wilaya nzima.

Labda wamekuja kusherehekea kuwa kaondoka! lakini wasingekuwa wanalia
Hili ni tukio la kwanza kwa taifa letu kuondokewa na rais akiwa madarakani.

Msiba hauzoeleki.. Hisia ni kubwa hata kama hujapanga kulia kupitia machozi ya wengine nawe utalia.

Kuhusu kura na uchaguzi tusijadili sababu ccm huwa hawataki ushindani.
 
Hili ni tukio la kwanza kwa taifa letu kuondokewa na rais akiwa madarakani.

Msiba hauzoeleki.. Hisia ni kubwa hata kama hujapanga kulia kupitia machozi ya wengine nawe utalia.

Kuhusu kura na uchaguzi tusijadili sababu ccm huwa hawataki ushindani.
Wakati wa kifo cha Nyerere, vijana walikuwa wanasema, kwa heri babu- umetuacha wakiwa. Kwa Magufuli wanasema kwa heri jembe-umetunyooshea nchi.
 
Tanzania ina watu milioni 50+ na wote wanahisia tofauti juu ya huyo marehemu wenu....
Na wanaojitokeza misibani
Wapo wanaokuja kuhakikisha kafa kweli
Wapo ambao watakuja kumshangaa mauti alikuaje
Wapo wataokuja kumuaga mpendwa wao kwa roho na kweli
Wapo watakuja kumsanifu mauti...
Kama ilivyo kwangu jinsi nisivyo mpenda magufuli na mamilioni wenye hisia kama zangu wapo pia wanao mpenda.
Ni kama ying na yang, kiza na mwanga etc.
 
Ukweli Magufuli anachukiwa na wenye smart foni na humu jf jumlisha wasomi na wakosoaji wa kila kitu ambao ni 10% tu ya watanzania na wanaojua kizung. Lakini 90 ambao s wa Elimu bure , samaki,bodaboda,wauza samaki na machinga ambao walikua wanafukuzwa km kuku enzi za kikwete Magu akawaheshimisha wakawa wako huru ktk riziki zao ndo wanamkumbuka haswaaa!!wanalia mnooo!!
Nimeshuhudia kwa macho yangu sijasimuliwa!!mpk nimeshangaa sisi wenye wazazi masikini wauza mboga mboga ndo walikua wanamuelewa mnoooo!!!sijui nisemeje yaani!!!Ila amejua kuumbua watu yaani leo!! Hapo Dar tu!ktk hii nchi hata afe nani hakuna atakaefunga ile bustaa ya Leo!
Kama uliona watu waliojitokeza kumuaga MAALIM SEIF pale Zanzibar na ndio alishindwa uchaguzi huwezi kuwa lopolopo hapa..

Toa utoto wako humu
 
Wakati wa kifo cha Nyerere, vijana walikuwa wanasema, kwa heri babu- umetuacha wakiwa. Kwa Magufuli wanasema kwa heri jembe-umetunyooshea nchi.
Wanaosema amenyoosha nchi sio waliopita bila kupingwa kama BABU TALE, FA, GWAJIMA..
 
Mimi mwenyewe nilienda Uhuru jana kumuangalia ili nijiridhishe akifa anafananaje? Kwa kule kujimwambafai naachaje kwenda kumuona. Yani nilitaka tu nijue akifumba macho anakuwaje mwamba yule!
Vipi zile hostel zimeanguka?!
 
Back
Top Bottom