Ukweli Magufuli anachukiwa na wenye smart foni na humu jf jumlisha wasomi na wakosoaji wa kila kitu ambao ni 10% tu ya watanzania na wanaojua kizung. Lakini 90 ambao s wa Elimu bure , samaki,bodaboda,wauza samaki na machinga ambao walikua wanafukuzwa km kuku enzi za kikwete Magu akawaheshimisha wakawa wako huru ktk riziki zao ndo wanamkumbuka haswaaa!!wanalia mnooo!!
Nimeshuhudia kwa macho yangu sijasimuliwa!!mpk nimeshangaa sisi wenye wazazi masikini wauza mboga mboga ndo walikua wanamuelewa mnoooo!!!sijui nisemeje yaani!!!Ila amejua kuumbua watu yaani leo!! Hapo Dar tu!ktk hii nchi hata afe nani hakuna atakaefunga ile bustaa ya Leo!