3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Kabisa.. Tunafunika maujinga ya marehemu tuKumbe ni mambo ya kujifurahisha tukiwa Dunia.
Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa.. Tunafunika maujinga ya marehemu tuKumbe ni mambo ya kujifurahisha tukiwa Dunia.
Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
Mwizi, muuaji huyu hana loloteNakubaliana na wewe, kuna mambo mengi mzee alituumiza sana, hakuwa mwema kabisa. (He was ruthless)
Lakini kuna mambo amefanikiwa kulifanyia taifa kwa muda mfupi, unawaza mpaka unabaki mdomo wazi.
Tuseme ukweli tu, Raisi Magufuli alikuwa ni CHUMA HASWAAA.
Sasa hata kama anapendwa yuko wapi? Nyie wajinga mbona mnazidi kujiaibisha kiasi hiki?
Wasukuma mtalia sana safari hii
Nenda kampigie kura basi
Heal brother, Heal, Do not be this bitter: Rise above it man.Hongera kwa kutoka na zawadi ya korona ikutafune
Mtalopoka yote... Mungu ndio kaamua kututolea ghasiaNyani Ngabu Magufuli ni Sankara Mpya wa Afrika.
Akina fatuma, maria sarungi, lissu watakufa watu watalinganisha heshima watakayopewa kwenye jamii na ya Hayati Magufuli.
Endapo lissu, fatuma au maria watafia au kuzikwa Tanzania maiti zao zitachezewa na kudharauriwa milele.
Kanumba aliimba "Hata wale wanaonichukia watabeba jeneza langu "Mbona hiyo ni kawaida tu. Hata Marehemu Kanumba nyomi ilikuwa ni kama hivyo tu.
Halafu kwenye misiba huwa wanahudhuria watu wote hata wale wabaya wako watakuja kuhakikisha kama umededi kweli ili wasuuzike na roho zao.
Mkuu, I can relate to your anger and frustrations: But this cannot be the way forward for healing and reconciliation.Mwizi, muuaji huyu hana lolote
Kifo cha OSAMA niliumia sana japo nilimfahamu kwa kazi ya kulipua majengo na kuua watu.Alililiwa na watu ambao walikuwa wanahesabu mazuri yake. Kwani unafikiri iddi amin alikuwa katiri kwa kila mtu?
Wapo wanaomuona shujaa kama ambavyo osama anavyoonekana shujaa kwa watu wengine
Aliminya democracy na waliomchukia ni wale waliokua wanamkosoa ila mengine alikua mtu poa.
Duh wewe umeongeza kitu kikubwa sana aisee big upWatu wanapenda matukio!
Ni rahisi kumanipulate mass kupitia bombardment ya habari za huzuni nonstop!
Serikali na machinery yake, Chama, na ushirikiano wao na wasanii na media inaweza kutumia propaganda techniques kuwakusanya watu idadi inayotaka
Si vizuri sana kulinganisha kwa vyovyote watu wtaenda. Tusije kufanya hesabu ya walioenda na wasioenda. Watu wameenda, watu wzmeguswa basi, watu wamesikitika.Umati usikusumbue, bali ni umati wa watu gani. Hoja ya vyama vingi umati ulikataa kwa 80%, lakini 20% wakashinda. Kwa watu wa akili za kawaida na za chini wana upeo mdogo ktk kufikiri na kuamua. Na usishangae pamoja na tahadhali ya ugonjwa wa mfumo wa kupumua, wanajazana, kurundikana na kukanyagana. Wengi Wana enda na watoto, mpaka wa migongoni.
Why didn't you cry for reconciliation when he was killing, detaining, doing extortion and impoverishing people at the pleasure of his animosity?Mkuu, I can relate to your anger and frustrations: But this cannot be the way forward for healing and reconciliation.
And denying the fact that he had some positive inputs for TZ, is against common precepts of decency.
Heal brother and Let bygones be bygones: Maisha bado yanaendelea.
Labda ni mgeni kwa watanzania,kujaa wanapoona kitu wao ni kawaida mara ngapi hujaa linapoanguka gari la mafuta na wanakufa likilipuka...wengine sio wanaenda kuzoa mafuta hapana ni kushangaa tu,so ukiwaelewa wabongo hili halitakushangaza hakuna cha mapenzi wala nini?Waliomchukia ni kuduchu sana,wengi tulimpenda.
Ni wanafiki nambari moja dunianiMacho hayajadanganya.Ni kweli JPM alikuwa anapendwa hata tangu akiwa Waziri kwani alikuwa mtu wa matokeo hasa yanayoonekana.Kukariri kwake takwimu kulimfanya hata akiwa waziri wa ujenzi bajeti yake kupitwa bila mikwara yoyote.
Na ndio maana wengi tunabaki kujiuliza kwa kupendwa kule na huku kwa leo tunakokuona palikuwa na haja gani ya ,
Jambo moja ni wazi na limepata uthibitisho katika kipindi hiki ni kuwa "Watanzania ni wanafiki wa kupindukia"Sorry to say that!!!
- Kunyima uhuru wa vyama vingine vya siasa?
- Kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa
- Kuvuruga uchaguzi mkuu?
Wahuni wa mjini hawa. Wanajipendekeza ili wapate teuziNi wanafiki nambari moja duniani