Macho yangu yananidanganya?

Macho yangu yananidanganya?

Mbona hiyo ni kawaida tu. Hata Marehemu Kanumba nyomi ilikuwa ni kama hivyo tu.

Halafu kwenye misiba huwa wanahudhuria watu wote hata wale wabaya wako watakuja kuhakikisha kama umededi kweli ili wasuuzike na roho zao.
Jibu zuri sana
 
Mimi mwenyewe nilienda Uhuru jana kumuangalia ili nijiridhishe akifa anafananaje? Kwa kule kujimwambafai naachaje kwenda kumuona. Yani nilitaka tu nijue akifumba macho anakuwaje mwamba yule!
UFIPA,mmebaki na aibu na sononi.

mtaambia nini watu[emoji23][emoji23][emoji23]
sisi wafuasi wake tumekubali mzee apumzike,halafu hali imekuwa mbaya zaidi kwenu.
 
Unaongea utadhani chadema ndio wanachikua nchi, bado ni sisiemu ile ile inawakimbiza.
Vipi mkuu, hujafanya sherehe JPM hatunae tena?
Umefanya wewe kwa waganga wako wa kienyeji ili upate kuendelea kuuza upuuzi wako
 
Hivi ni kwa nini wachukua picha za video hawachukui sehemu ambayo na sisi tunaoomboleza tukiwa nyumbani tunaweza kuona sura ya Mh. Kwa dakika za mwisho? Au wanakatazwa? Au ndio maadili ya kazi yanawataka hivyo!? Ningetamani waonyeshe kama ilivyokuwaga kwa Hayati Baba Wa Taifa!
kimaadili ya kazi za media, sio hekima kuonyesha picha za live za mtu aliyekufa akiwa kwenye jeneza. italeta mixed feelings/reactions kwa watu wengine ambao imani zao haziruhusu kuaga marehemu.
 
walianza ujinga jana kwamba kuna gari zinasomba watu.

walipoona haiwezekani huo wimbo kuingia kwenye maskio ya watu timamu wa akili,wakaona wakaushe.

kwa sasa wanasema watu walikwenda kuhakikisha[emoji23][emoji23][emoji23].
watu wanasema ukiukataa ukweli,utakufata kama kivuli chako na kukuzomea.
Yanaona aibu sasa hv likigogo na Lissu....
 
Msiba wa Mobutu Sesesko kuku ngwendu wa Zabanga ulikuwa ni mzito kuliko huu

Madikteta wa kiafrika huogopwa hata wanapokufa
Wananchi wao wanajua wasipojiliza na kuhudhuria mazishi wanajua cha mtema kuni

Wako Wananchi wengine huwa wanalia tu hata kwenye misiba ya Redioni

Halafu kuna hii propaganda machine ya CCM ni hatari sana

Na wako wengi wanaogopa kuonekana kuwa hawampendi marehemu ili wasibambikiwe kesi za uhujumu Uchumi
 
Back
Top Bottom