Macho yangu yananidanganya?

Macho yangu yananidanganya?

Haya ni maoni ya watu ambao wanaishi maisha ya uadilifu kwa kiasi cha kuridhisha.
Lkn kwa wauza madawa ya kulevya, majangili, mafisadi, mtandao wa majambazi, mashoga n.k. ni furaha kubwa kwao.
 
Nyani usichanganye mtu kukosolewa na kuchukiwa.

Rais amefanya mengi mazuri na mengi yalionekana yanakosolewa. Hii haikuwa chuki kwake.

Mfano wa ukosoaji na manunuzi ya ndege dhidi ya hali duni ya jamii yetu. Bado haikuwa chuku maana kuna kidogo kilifika kwao na wao wenyewe waliendelea kupambana.

Inashangaza tu wanausalama ndiyo waliochangiwa kwa sehemu kubwa Rais Magufuli aonekane hapendwi kwa kuimarisha ulinzi mkali dhidi ya wananchi kana kwamba tulikuwa na vikundi vya uasi vya kijeshi.

Apumzike kwa aman rais Magufuli.
 
Itachukua miaka 200 Tanzania kupata Rais wa namna hii tena, achana na kenge chache zinazoshangilia kufa kwake, the majority huu msiba umeumiza sana.
 
" The Internet is colonizing what we used to consider as this present reality" - Safer Internet Day
 
Hata nyomi ya Lowasa wengi walisema wameenda kumshangaa mgonjwa pia Lissu
 
Ww dish lako limeyumba sana I see!
Hajawahi tokea rais aliyependwa kama Magu Tz isipokuwa JK Nyerere!

Pumbavu! Mandamano ya mbeligiji je? Walihamasishwa hawakuhamasishwa?!

Walitokea hawakutoka
Shida huwa anahamasisha staight wakati wanaokubali tundu ni mashoga! Na idadi yao ni ya kumulika na tochi, unategemea nini hapo sasa!
 
Leo nimekaa nimefikiria ubaya wa Magufuli ila sijaupata aiseee ila nilikuwa namchukia2

Mambo aliyoyafanya yanaonekana dhahiri machoni ila ubaya ambao tumekaririshwa na watu kiukweli sina ushahidi nao.

Nitoshe kusema Magufuli alifanya mema
 
Leo nimekaa nimefikiria ubaya wa Magufuli ila sijaupata aiseee ila nilikuwa namchukia2

Mambo aliyoyafanya yanaonekana dhahiri machoni ila ubaya ambao tumekaririshwa na watu kiukweli sina ushahidi nao.

Nitoshe kusema Magufuli alifanya mema
🙏
 
Leo nimekaa nimefikiria ubaya wa Magufuli ila sijaupata aiseee ila nilikuwa namchukia2

Mambo aliyoyafanya yanaonekana dhahiri machoni ila ubaya ambao tumekaririshwa na watu kiukweli sina ushahidi nao.

Nitoshe kusema Magufuli alifanya mema
Hata mimi uzuri wa magufuli siuoni nahisi nilikaririshwa tu
 
Hapana. Sijachanganya chochote.

Kama ni kumkosoa tu, hata mimi nimemkosoa sana.

Lakini pia, walio na chuki wapo ila ni wachache kuliko ambavyo wangependa kutuaminisha.
 
Baada ya uchaguzi CDM walivyoitisha maandamano, rafiki yangu aliniambia hawa wanawajua waTz vizuri hawa? kama wanataka watu waandamane basi machinga wazuiwe au waondolewe kwenye maeneo wanakofanyia biashara hapo ndipo watu wataandamana, hivi hivi waTz wanatafuta mlo tu mambo yaliyo mengi hawaelewi yanawasaidiaje wao, hapo ndio wanasiasa wa chama dola wanapojizolea mashabiki zao.

Anyways to me, magufuli alikuwa na nia nzuri sana na nchi, his approach kuyafikia hayo mazuri ndio ilikuwa changamoto, plus ana issues in person ndio ikafanya things kuwa worse. hata hivyo amefanya pakubwa, apumzike kwa amani.
Fair and balanced. 👍
 
Watu hawaamini aliyefanya wale mlo mmoja kaondoka alieuwa biashara zao kang'oka aliewafukuza kazi kaondoka alietengeneza sheria za kionevu hayupo aliewafunga na kuwachapa risasi mchana kweupe hayupo na kimoyomoyo wanasema Mungu fundi huyo ni farao wa Zama zao kwanini wasiende kumshuhudia farao kadondoka?
 
Back
Top Bottom