Macho yangu yananidanganya?

Macho yangu yananidanganya?

Yaani corona imepamba moto watu bado wanaenda kujazana hivyo bila barakoa na serikali ipo kimya!...kisa mtu aonekane alikuwa anapendwa!
 
Je, unadhani wote walio katika nyomi hiyo walimpenda JPM mamilioni waliobakia majumbani kwao?
Je, wajua ya kuwa katika uyamaduni wa muafrika, marehemu huwa hana adui na wakati wa msiba wake waombolezaji huwa nibpamoja na wale wasiompenda?
Hiki ni kipindi cha kuomboleza kwa kunena mema tu juu ya marehemu. Hiki ninkipindi ambacho unafiki ni ruksa.

"Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao". Ufunuo 14:13
 
Unatumia nguvu kubwa sana kujibu swali langu,Nimekuuliza Kwa Magufuli ni Unafiki ila walioenda kumpoke Lisu ni “upendo wa dhati” siyo? Haya jibu hapa tuendelee sasa na mengine
..jeshi la polisi lilikuwa limewakataza wananchi kwenda kumpokea Tundu Lissu.

..pia kurejea kwake hakukutangazwa sana ktk vyombo vikubwa vya habari hapa nchini.

..watu wengi walikuwa wakiamini kwamba Tundu Lissu asingeweza kurudi Tanzania.

..pia kulikuwa na shughuli ya msiba wa Mzee Mkapa ambayo ilikuwa inatangazwa zaidi, na wananchi wakihimizwa waende huko.

..hata hivyo nakubaliana na wewe kwamba Magufuli anapendwa na watu, na zaidi Watanzania tuna utamaduni wa kujitokeza kwa wingi kuaga viongozi wetu wanapofariki. Pia hili ni tukio la KIHISTORIA, Tanzania haijapata kuondokewa na Raisi aliyeko madarakani.
 
Hata kama baba alikuwa mkali namna gani lakini akifariki vilio lazima vitawale. Binadamu ameumbwa na hisia na wakati mwingine zinaweza kuwa triggered na hisia za watu wengine
 
Je, unadhani wote walio katika nyomi hiyo walimpenda JPM mamilioni waliobakia majumbani kwao?
Je, wajua ya kuwa katika uyamaduni wa muafrika, marehemu huwa hana adui na wakati wa msiba wake waombolezaji huwa nibpamoja na wale wasiompenda?
Hiki ni kipindi cha kuomboleza kwa kunena mema tu juu ya marehemu. Hiki ninkipindi ambacho unafiki ni ruksa.

"Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao". Ufunuo 14:13
Huko msibani kila mtu ana mambo yake. Ndio maana kuna wengine wamepiga picha ya maiti, inazagaa mitandaoni.

Tiss wa nchi hii ni takataka tu
 
Hii jioni taifa
20210321201240.jpg
 
Tunajua hamuamini mnachokiona,mlidhani hapendwi na watu eeh! Tunawasubiri 2025,ndiyo mtatujua vizuri Watanzania. Endeleeni na “kuendesha Nchi kupitia twitter” but mkija huku Site kuomba kura mtatukuta.
Kinachofanya mnakimbiaga na masanduku ya kura ni nini?

Mbona hamtaki tume huru?

Nenda msibani ugali unaisha
 
Kama angekuwa anapendwa kwanini alihofia katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi? Kwanini alipora uchaguzi kila kona nchini?
Mtu anayependwa hawezi kuhofia kuchaguliwa kihalali lakini kwa kujua maovu chungu nzima aliyoyafanya ndani ya miaka mitano na kusababisha kuchukiwa kuliko Rais mwingine yeyote alijua fika uchaguzi huru na wa haki ungekuwa ANGUKO LAKE kubwa.
 
Wapiga kelele wa mitandaoni walikuwa wanadai kaiba kura. Sasa hao walioko barabarani ni kura za Mbunge wa wilaya nzima.

Labda wamekuja kusherehekea kuwa kaondoka! lakini wasingekuwa wanalia
 
Ukweli Magufuli anachukiwa na wenye smart foni na humu jf jumlisha wasomi na wakosoaji wa kila kitu ambao ni 10% tu ya watanzania na wanaojua kizung. Lakini 90 ambao s wa Elimu bure , samaki,bodaboda,wauza samaki na machinga ambao walikua wanafukuzwa km kuku enzi za kikwete Magu akawaheshimisha wakawa wako huru ktk riziki zao ndo wanamkumbuka haswaaa!!wanalia mnooo!!
Nimeshuhudia kwa macho yangu sijasimuliwa!!mpk nimeshangaa sisi wenye wazazi masikini wauza mboga mboga ndo walikua wanamuelewa mnoooo!!!sijui nisemeje yaani!!!Ila amejua kuumbua watu yaani leo!! Hapo Dar tu!ktk hii nchi hata afe nani hakuna atakaefunga ile bustaa ya Leo!
 
Huko msibani kila mtu ana mambo yake. Ndio maana kuna wengine wamepiga picha ya maiti, inazagaa mitandaoni.

Tiss wa nchi hii ni takataka tu

Kama maiti inaonyeshwa, then kwanini iwe tatizo kuipiga picha?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hata kama baba alikuwa mkali namna gani lakini akifariki vilio lazima vitawale. Binadamu ameumbwa na hisia na wakati mwingine zinaweza kuwa triggered na hisia za watu wengine
FACT.
 
Wapiga kelele wa mitandaoni walikuwa wanadai kaiba kura. Sasa hao walioko barabarani ni kura za Mbunge wa wilaya nzima.

Labda wamekuja kusherehekea kuwa kaondoka! lakini wasingekuwa wanalia

..Magufuli alikuwa na tabia za uharibifu na kutumia mabavu mahali pasipohitaji mabavu.

..Uchaguzi wa 2020 alikuwa na uwezo wa kushinda bila kuuvuruga na kutumia mabavu.
 
Mkuu, ndio natoka uwanja wa uhuru sasa na sijafanikiwa kumuaga ngosha watu ni wengi sana. Wengi sana na wanaoondoka bila kumuaga pia ni wengi....
Mwanza itakuwa funga kazi...yaani huko wajipange kweli kweli maana nyomi lake litakiwa sio la kawaida
 
Kuna mpuuzi huko anahangaika Twitter anasema serikali iepushe aibu hii...! Watu kumuaga mpendwa wao kwake ni aibu!
 
Mzee ukijua nature ya wabongo wala huwezi umiza kichwa, kwa kazi aliyopiga mzee hata kama unapinga utakua una utindio wa ubongo na hujui unataka nini!
Tulikosa kiongozi kama huyu kwa miaka mingi!
 
Back
Top Bottom