Ghwakukajha
JF-Expert Member
- Apr 27, 2008
- 245
- 102
Bwana covid moja tisa anasema huu ni msimu wa mavuno...jaza ujazwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..jeshi la polisi lilikuwa limewakataza wananchi kwenda kumpokea Tundu Lissu.Unatumia nguvu kubwa sana kujibu swali langu,Nimekuuliza Kwa Magufuli ni Unafiki ila walioenda kumpoke Lisu ni “upendo wa dhati” siyo? Haya jibu hapa tuendelee sasa na mengine
Huko msibani kila mtu ana mambo yake. Ndio maana kuna wengine wamepiga picha ya maiti, inazagaa mitandaoni.Je, unadhani wote walio katika nyomi hiyo walimpenda JPM mamilioni waliobakia majumbani kwao?
Je, wajua ya kuwa katika uyamaduni wa muafrika, marehemu huwa hana adui na wakati wa msiba wake waombolezaji huwa nibpamoja na wale wasiompenda?
Hiki ni kipindi cha kuomboleza kwa kunena mema tu juu ya marehemu. Hiki ninkipindi ambacho unafiki ni ruksa.
"Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao". Ufunuo 14:13
Kinachofanya mnakimbiaga na masanduku ya kura ni nini?Tunajua hamuamini mnachokiona,mlidhani hapendwi na watu eeh! Tunawasubiri 2025,ndiyo mtatujua vizuri Watanzania. Endeleeni na “kuendesha Nchi kupitia twitter” but mkija huku Site kuomba kura mtatukuta.
Huko msibani kila mtu ana mambo yake. Ndio maana kuna wengine wamepiga picha ya maiti, inazagaa mitandaoni.
Tiss wa nchi hii ni takataka tu
FACT.Hata kama baba alikuwa mkali namna gani lakini akifariki vilio lazima vitawale. Binadamu ameumbwa na hisia na wakati mwingine zinaweza kuwa triggered na hisia za watu wengine
TV zipo wangeonesha LIVE coverage kuliko kuacha watu wapige za kuvizia...kama maiti inaonyeshwa, then kwanini iwe tatizo kuipiga picha?
Wapiga kelele wa mitandaoni walikuwa wanadai kaiba kura. Sasa hao walioko barabarani ni kura za Mbunge wa wilaya nzima.
Labda wamekuja kusherehekea kuwa kaondoka! lakini wasingekuwa wanalia
Mwanza itakuwa funga kazi...yaani huko wajipange kweli kweli maana nyomi lake litakiwa sio la kawaidaMkuu, ndio natoka uwanja wa uhuru sasa na sijafanikiwa kumuaga ngosha watu ni wengi sana. Wengi sana na wanaoondoka bila kumuaga pia ni wengi....