3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Swali la MAJALIWA unaniuliza mimi?kwani mtu anatumia wiki ngapi kufariki???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali la MAJALIWA unaniuliza mimi?kwani mtu anatumia wiki ngapi kufariki???
nyie watu bana.Swali la MAJALIWA unaniuliza mimi?
I couldn’t care less.On point, but your contribution is against most mrmbers of JF Republic.
Hakuna uhusiano wowote mkuuUkiagwa na watu wengi unapata thawabu toka kwa Mungu?
Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
Sikuwahesabu.Jiji la watu milioni 7, hao uliowaona barabarani ni kiasi gani?
Mnatafuta kila aina ya vijisababu vya kutumia kama visingizio kujiaminisha kwamba alikuwa hapendwi na walala hoi na watu wa kada za kawaida.Aliyekuwa mwandishi wa habari na makala, akiandikia gazeti la RAI, la wakati ule sio hili la sasa, Muhigo Ryehemamu (spelling) aliwahi kusema. Namnukuu.
Unaweza kukuta watu wajinga milioni mbili wanafanya jambo lao la kijinga, na Kwa kuwa ni wengi , unaweza kufikiri kuwa jambo wanalofanya ni la maana sana. (Ila mimi sijasema kwamba watu wote walioenda uwanja wa uhuru leo ni wajinga. Nilimnukuu mzee Muhigo) Kwa hiyo ndugu Nyani Ngabu wingi wa watu sio kwamba wooote walikuwa wanampenda. Wengine wameenda kushangaa tu. Wapo waliokuwa wana mpenda na pia waliokuwa wanamchukia.
Tuwaache watu waonyeshe hisia zao. Hii ngoma ipo 50/50
Ukitoa watoto roughly hao wanaweza fika angalau 1/4 ya watu wazima wote. Hiyo namba kubwa sana....Jiji la watu milioni 7, hao uliowaona barabarani ni kiasi gani?
Tunaachaje kumfufua kimawazo kwa chuki aliyofanikiwa kuijenga ndani ya taifa.?Hakuna kama Maghufuli hilo watu wakatae wakubali nguvu ya umma inajionyesha Jana tumejipanga kijazi pale lisaa lizima tunasubiri msafara na bado mioyoni mwetu tunahisi tuna deni kubwa hatukumuenzi ipasavyo.
Huu msiba utatutafuna mda mrefu sana haitapita siku hatujamfufua kimawazo.
Kumkubali ni kukubali hajatesa, kuteka na kuua watu.Mkuu sikia hii kazi za kufanya hatuna Sasa twende wapi sehemu pekee ya kwenda kurura n hapo kwa wengi ulikuwa n mtoko tu
Hata akfa kikwete Leo wakitoa fursa ya kumuaga Kama leo hakika tutajaa tu sababu n viongoz wanajibrand wenyewe tofaut ukifa wewe Zaid ya id yako humu nan atajua mkuu
Binafs sikumkubal niwe muwaz
Kumbe amesepa mazima..? Sio kwamba tumpe mi5 tenaMwanaume mzima kuonea wivu kwa mtu aliyepumzika Milele ni aibu.
-Sikualika mabishanoTunaachaje kumfufua kimawazo kwa chuki aliyofanikiwa kuijenga ndani ya taifa.?
Hakuna kama yeye huko kwa wauaji na mafisadi wenzie.
Kumbe ni mambo ya kujifurahisha tukiwa Dunia.Hakuna uhusiano wowote mkuu
Nakubaliana na wewe, kuna mambo mengi mzee alituumiza sana, hakuwa mwema kabisa. (He was ruthless)Aliminya democracy na waliomchukia ni wale waliokua wanamkosoa ila mengine alikua mtu poa.
Daktari wa korona alifikiri kila kitu ni nyungu na madaraja.negligence ni ya marehemu kwa kutochukua tahadhari juu ya korona. Sayansi haitaki ubishi, ukibishana nayo itakuumbua na ndicho kilichotokea
Nyomi za kubumba kwa kuhonga elfu tano tano. Halafu wanazimia kwasabb ya njaa na baadhi wamepewa hela wakafanye Futuhi ya kuzimia.Kwa nyomi hizi zinazojipanga barabarani mwili wa Rais Magufuli unapopitishwa ndo tuamini kweli alikuwa anachukiwa sana na watu walio wengi zaidi?