Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye oxygen unaweza kuitoa na kula au kuongea, kutuma sms ,kwenda toilette. N.k.inategemea uko Katika hali gani, wengine huivaa pale wanapoanza kupumua kwa shida, akipata nafuu anavua. Ndo nilivyoshuhudia kwa wagonjwa kadhaa wachangamoto hij y'a upumuaji kwa mwenzi sasa nauguza ndugu kadhaaMzee Baba alitupiga changa la macho kuwa Alitumiwa SMS na Mpango, kumbe Mpango alikua kwenye Oxygen hadi juzi! Aibu sana kudanganya
Mkuu tahadhari muhimu usisikilize kelele za wanaotaka Kodi badala ya kujadili huu ugonjwa na kuweka mazingira ya emergency...We ndo umemaliza kila kitu ,watu kelele nyiingi ...tahadhari tahadhari wakati wanaochukua tahadhari huko duniani goma linashika kazi,this is airborne disease how can you get rid of it?
Daaaa!!!ki ukweli inasikitisha sana!!kwa akili hizo mwafrika tutashindwaje kuonekana kituko?!!tatizo ni pale unapokuwa kiongozi unakuwa na mawazo ya kina mama wa uswahilini, ya kupenda kusuta watu!!ndio matokeo yake hayo!!Walimleta kwa lengo la kuzodoa watu lakini mwisho wa siku wamejianika wenyewe.
Ni sahihi kabisa. Kwahio alikua mgonjwa tofauti na ujumbe ulwa MkukuKwenye oxygen unaweza kuitoa na kula au kuongea, kutuma sms ,kwenda toilette. N.k.inategemea uko Katika hali gani, wengine huivaa pale wanapoanza kupumua kwa shida, akipata nafuu anavua. Ndo nilivyoshuhudia kwa wagonjwa kadhaa wachangamoto hij y'a upumuaji kwa mwenzi sasa nauguza ndugu kadhaa
Kweny hiyo video yeye na mkuu wa hospitali pamoja na daktari wake hawakuvaa barakoa 😥 Waaguzi wote walivaa barakoaNaomba kujua kichwa cha habari niipate youtube. Nadhani sasa atavaa barakoa haijalishi yuko wapi na yuko na nani.
Corona haipo Tanzania!Jali afya yako, chukua tahadhari, Kula vizuri, fanya kazi na muombe Mungu sana sana
Anaumwa ameshututidhwa kwa maslahi ya JamaaWakuu the issue is serious naona usiombe ugonjeke halafu ukaja kwa njia ya kukosa pumzi na maisha yetu ya kuunga unga hizi machine ni chache mahospitali yetu, na ku-afford mmoja moja nayo shughuli ndio maana wengine tunajilinda tu huki mengine Mungu mwenyewe asimame atutetee ,kiufupi video ya Philiph imeniliza yule ni mzee ameshakutana na mambo mengi sana amekwepa mishale mingi,kapitia shuruba nyingi Ogopa hii imemshinda mpaka Amelia hadharani sio jambo jepesi halafu mzee ni kama..haja recover vzr Mungu aendelee kumuimarisha.... Basi kwayo wakuu tuendelee kujikinga na kumuomba Mungu.
sikuona sababu ya kutoka hadharani. Vp muumba akimchuka leo?Je, kulikuwa na umuhimu wowote wa kujitokeza hadharani akiwa ktk hali ile? Au lilikuwa ni shinikizo, ili kumuonyesha mtu fulani, kuwa anachokisema sio sahihi?!!badala ya kuondoa maswali wameyaongeza mala mia!
Msemaji mkuu wa Tanzania ameshasema ipo wewe ni nani upinge🙄🙄Corona haipo Tanzania!
SawasawaJali afya yako, chukua tahadhari, Kula vizuri, fanya kazi na muombe Mungu sana sana
Akiri zimewakaa sasa!Msemaji mkuu wa Tanzania ameshasema ipo wewe ni nani upinge🙄🙄
Akiri zimewakaa sasa!Msemaji mkuu wa Tanzania ameshasema ipo wewe ni nani upinge🙄🙄
Yaani unaona kabisa anaongea huku akiwa anajilazimisha kuzungumza maneno hayataki kutokaAisee inasikitisha kwa ile hali yake hakupaswa hata kufanya press.
Kwa wale wenye 40 and above punguzeni sex au acheni kwa muda,jichungeni na maleria kuleni mboga mboga sana na matunda jitengeni na mikusanyiko isiyo ya lazima [sex na maleria ] huwa na tabia ya kushusha sana kinga kwa ghaflaVaa barakoa.
Nawa mara kwa mara.
Epuka misongamano..
Sijui hana familia..?? Yaan mzaz wangu nimkubalie ajianike hivyo anakohoa namna hiyo misuli ya uso imemsimama? Jaman mmemkosea sana huyu BabaWalimleta kwa lengo la kuzodoa watu lakini mwisho wa siku wamejianika wenyewe.