#COVID19 Machozi ya Dkt. Mpango yasiende bure

Mzee Baba alitupiga changa la macho kuwa Alitumiwa SMS na Mpango, kumbe Mpango alikua kwenye Oxygen hadi juzi! Aibu sana kudanganya
Kwenye oxygen unaweza kuitoa na kula au kuongea, kutuma sms ,kwenda toilette. N.k.inategemea uko Katika hali gani, wengine huivaa pale wanapoanza kupumua kwa shida, akipata nafuu anavua. Ndo nilivyoshuhudia kwa wagonjwa kadhaa wachangamoto hij y'a upumuaji kwa mwenzi sasa nauguza ndugu kadhaa
 
We ndo umemaliza kila kitu ,watu kelele nyiingi ...tahadhari tahadhari wakati wanaochukua tahadhari huko duniani goma linashika kazi,this is airborne disease how can you get rid of it?
Mkuu tahadhari muhimu usisikilize kelele za wanaotaka Kodi badala ya kujadili huu ugonjwa na kuweka mazingira ya emergency...
 
Walimleta kwa lengo la kuzodoa watu lakini mwisho wa siku wamejianika wenyewe.
Daaaa!!!ki ukweli inasikitisha sana!!kwa akili hizo mwafrika tutashindwaje kuonekana kituko?!!tatizo ni pale unapokuwa kiongozi unakuwa na mawazo ya kina mama wa uswahilini, ya kupenda kusuta watu!!ndio matokeo yake hayo!!
 
Kwenye oxygen unaweza kuitoa na kula au kuongea, kutuma sms ,kwenda toilette. N.k.inategemea uko Katika hali gani, wengine huivaa pale wanapoanza kupumua kwa shida, akipata nafuu anavua. Ndo nilivyoshuhudia kwa wagonjwa kadhaa wachangamoto hij y'a upumuaji kwa mwenzi sasa nauguza ndugu kadhaa
Ni sahihi kabisa. Kwahio alikua mgonjwa tofauti na ujumbe ulwa Mkuku
 
Wakuu the issue is serious naona usiombe ugonjeke halafu ukaja kwa njia ya kukosa pumzi na maisha yetu ya kuunga unga hizi machine ni chache mahospitali yetu, na ku-afford mmoja moja nayo shughuli ndio maana wengine tunajilinda tu huki mengine Mungu mwenyewe asimame atutetee ,kiufupi video ya Philiph imeniliza yule ni mzee ameshakutana na mambo mengi sana amekwepa mishale mingi,kapitia shuruba nyingi Ogopa hii imemshinda mpaka Amelia hadharani sio jambo jepesi halafu mzee ni kama..haja recover vzr Mungu aendelee kumuimarisha.... Basi kwayo wakuu tuendelee kujikinga na kumuomba Mungu.
 
Anaumwa ameshututidhwa kwa maslahi ya Jamaa
 
Je, kulikuwa na umuhimu wowote wa kujitokeza hadharani akiwa ktk hali ile? Au lilikuwa ni shinikizo, ili kumuonyesha mtu fulani, kuwa anachokisema sio sahihi?!!badala ya kuondoa maswali wameyaongeza mala mia!
sikuona sababu ya kutoka hadharani. Vp muumba akimchuka leo?
 
Walimleta kwa lengo la kuzodoa watu lakini mwisho wa siku wamejianika wenyewe.
Sijui hana familia..?? Yaan mzaz wangu nimkubalie ajianike hivyo anakohoa namna hiyo misuli ya uso imemsimama? Jaman mmemkosea sana huyu Baba
 
Back
Top Bottom