Silasy
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 872
- 1,210
Kitu nilichoki note kwenye ile press ni Appreciation ya Mheshimiwa kwa huduma uliyopata kutoka kwa Wahudumu wazalendo ,akaenda mbali zaidi na kuishukuru serikali kwa kuipa kipaumbele sekta ya Afya kwenye Budget yake ikiwemo ya madawa ,vifaa tiba na kusomesha wataalamu zaidi, ila amekwepa kuzungumzia Maslahi ya hao walioponyesha uhai wake!kwakweli kuna tofauti kubwa ya kimaslahi kati ya wanasiasa na Watoa huduma wa Afya tofauti na kazi ngumu wanazofanya kuokoa maisha ya watu kwenye Mazingira magumu na ya Hatari.
Nadhani kuanzia sasa Mheshimiwa atakuwa Ambassador mzuri wa kutetea maslahi ya hawa watu through experience aliyoipata ndani ya hizi wiki 2.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Nadhani kuanzia sasa Mheshimiwa atakuwa Ambassador mzuri wa kutetea maslahi ya hawa watu through experience aliyoipata ndani ya hizi wiki 2.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app