#COVID19 Machozi ya Dkt. Mpango yasiende bure

Kitu nilichoki note kwenye ile press ni Appreciation ya Mheshimiwa kwa huduma uliyopata kutoka kwa Wahudumu wazalendo ,akaenda mbali zaidi na kuishukuru serikali kwa kuipa kipaumbele sekta ya Afya kwenye Budget yake ikiwemo ya madawa ,vifaa tiba na kusomesha wataalamu zaidi, ila amekwepa kuzungumzia Maslahi ya hao walioponyesha uhai wake!kwakweli kuna tofauti kubwa ya kimaslahi kati ya wanasiasa na Watoa huduma wa Afya tofauti na kazi ngumu wanazofanya kuokoa maisha ya watu kwenye Mazingira magumu na ya Hatari.
Nadhani kuanzia sasa Mheshimiwa atakuwa Ambassador mzuri wa kutetea maslahi ya hawa watu through experience aliyoipata ndani ya hizi wiki 2.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu kinachoshindikana Kama watu wa wakiwa na dhamira moja na mshikamano.dr.mpango amesema tupende vya kwetu,corona ipo!Kama hatukubaliani kwa kauli moja kufuata maelekezo ya serikali namna ya kupambana na huu ugonjwa hili ni tatizo ktk mapambano na huu ugonjwa.kulalamika halafu umekaa ni kazi bule. wengi humu tunaongea mengi kuhusu corona na kutoa ripoti mbalimbali kuhusu huu ugonjwa,lakini jiulize Mara ngapi umejifukiza!? utakuta jibu ni Mara chache au hujawahi kabisaaa!!Mara ngapi umekunywa juice za tangawizi+limao n.k jibu utakuta Mara chache au hujawahi kabisaaa,Ila kwenye kulalamika number 1. kwa tabia hizi za kubeza jitihada na maelekezo tutaweza!!??,
Dr mpango amepitia changamoto hii,tunampa pole kwa kuugua,lakini tunaamini Kuna kitu atakuwa amepata pamoja na kuugua kwake,Kama alivosema kwa nafasi aliyonayo ataishauri serikari kwa Yale aliyojifunza akiwa ktk kupambania uhai wake,tutamshukuru akiwa atafanya hivyo na sauti yake ikasikika serikalini.ni Jambo jema amepona ili awe balozi mzuri kwa wengine ambao bado wako mahospitalini wakipambania uhai wao.Hata hivyo umoja na mshikamano ktk hali yeyote huleta matokeo mazuri ,kuliko kupishana na kukinzana.
 
Kwanza naomba nianze kwa kumpa pole Dr Philip Mpango kwa kupambania afya yake kwa hizo wiki 2. Mungu amjalie apone kabisa mapema ili aweze kujumuika na familia yake.

Tukirudi kwenye mada, kwanza kama hujaitazama ile interview nenda youtube ukaitazame ndipo urudi hapa kuendelea kusoma. Kama haujaumwa au haujamuona anayeumwa hii nimonia kali tuliyonayo kwa sasa unaweza usielewe ukatili wa kirusi cha corona.

Tumshukuru Dr Mpango kwa kufanya ile press conference,nadhani sasa watu wataelewa na wote tutazingatia njia za kujikinga na hiki kirusi. Waziri ametoa chozi hadharani sio kwa sababu nyingine bali ni kwa sababu ameponea chupuchupu. Hii nimonia kali haifai kabisa, omba isikukute.

Machozi ya Dr Mpango yawaamshe usingizini viongozi wetu na wajue kwamba this life is precious to everyone, hakuna asiyependa kuendelea kuishi, kila uhai unatakiwa kuthaminiwa na kupewa ulinzi wa hali ya juu. Hivyo wachukue hatua sahihi zinazohakikisha kila mtu analindwa na hatari yoyote.

Dr Mpango amesema alikuwa anaishi kwa mtungi wa oksijeni nyumbani. Baadaye akahamishiwa hospitalini ambako amekaa kwa wiki 2 akipumulia oksijeni. Sasa tujiulize ni watanzania wangapi wenye uwezo wa kununua mitungi ya oksijeni na kukaa nayo nyumbani pindi wanapoumwa?

Ni wachache sana hata asilimia 1 haifiki. Kwa muktadha huo njia rahisi na nyepesi ya kuepuka kufika huko ni kwa kuchukua tahadhari. Kinga siku zote huwa ni cheap kuliko tiba.
Nadhani Dr Mpango ameamua makusudi kuiambia jamii kwamba Corona ni hatari , kaamua awe somo kwa wengine , kiukweli Dr Mpango pamoja na kutoka hadharani lakini naweza kusema kwa kadri ninavyoifahamu corona bado hajapona hata kwa 50% , ila uzalendo tu ndio umemfanya ajitokeze hadharani kuitahadharisha jamii .
 
Kwanza naomba nianze kwa kumpa pole Dr Philip Mpango kwa kupambania afya yake kwa hizo wiki 2. Mungu amjalie apone kabisa mapema ili aweze kujumuika na familia yake.

Tukirudi kwenye mada, kwanza kama hujaitazama ile interview nenda youtube ukaitazame ndipo urudi hapa kuendelea kusoma. Kama haujaumwa au haujamuona anayeumwa hii nimonia kali tuliyonayo kwa sasa unaweza usielewe ukatili wa kirusi cha corona.

Tumshukuru Dr Mpango kwa kufanya ile press conference,nadhani sasa watu wataelewa na wote tutazingatia njia za kujikinga na hiki kirusi. Waziri ametoa chozi hadharani sio kwa sababu nyingine bali ni kwa sababu ameponea chupuchupu. Hii nimonia kali haifai kabisa, omba isikukute.

Machozi ya Dr Mpango yawaamshe usingizini viongozi wetu na wajue kwamba this life is precious to everyone, hakuna asiyependa kuendelea kuishi, kila uhai unatakiwa kuthaminiwa na kupewa ulinzi wa hali ya juu. Hivyo wachukue hatua sahihi zinazohakikisha kila mtu analindwa na hatari yoyote.

Dr Mpango amesema alikuwa anaishi kwa mtungi wa oksijeni nyumbani. Baadaye akahamishiwa hospitalini ambako amekaa kwa wiki 2 akipumulia oksijeni. Sasa tujiulize ni watanzania wangapi wenye uwezo wa kununua mitungi ya oksijeni na kukaa nayo nyumbani pindi wanapoumwa?

Ni wachache sana hata asilimia 1 haifiki. Kwa muktadha huo njia rahisi na nyepesi ya kuepuka kufika huko ni kwa kuchukua tahadhari. Kinga siku zote huwa ni cheap kuliko tiba.
Kitu alichonifurahisha huyu mjomba wangu ni kuutambua mchango wa wataalamu wetu wa afya na kukubali kuwa kuna changamoto kubwa sana kwenye idara ya afya. La msingi zaidi ni kuona umuhimu wa kuongeza bajeti ya afya.
 
Kwanza naomba nianze kwa kumpa pole Dkt. Philip Mpango kwa kupambania afya yake kwa hizo wiki 2. Mungu amjalie apone kabisa mapema ili aweze kujumuika na familia yake.

Tukirudi kwenye mada, kwanza kama hujaitazama ile interview nenda youtube ukaitazame ndipo urudi hapa kuendelea kusoma. Kama haujaumwa au haujamuona anayeumwa hii nimonia kali tuliyonayo kwa sasa unaweza usielewe ukatili wa kirusi cha corona.

Tumshukuru Dr Mpango kwa kufanya ile press conference,nadhani sasa watu wataelewa na wote tutazingatia njia za kujikinga na hiki kirusi. Waziri ametoa chozi hadharani sio kwa sababu nyingine bali ni kwa sababu ameponea chupuchupu. Hii nimonia kali haifai kabisa, omba isikukute.

Machozi ya Dr Mpango yawaamshe usingizini viongozi wetu na wajue kwamba this life is precious to everyone, hakuna asiyependa kuendelea kuishi, kila uhai unatakiwa kuthaminiwa na kupewa ulinzi wa hali ya juu. Hivyo wachukue hatua sahihi zinazohakikisha kila mtu analindwa na hatari yoyote.

Dr Mpango amesema alikuwa anaishi kwa mtungi wa oksijeni nyumbani. Baadaye akahamishiwa hospitalini ambako amekaa kwa wiki 2 akipumulia oksijeni. Sasa tujiulize ni watanzania wangapi wenye uwezo wa kununua mitungi ya oksijeni na kukaa nayo nyumbani pindi wanapoumwa?

Ni wachache sana hata asilimia 1 haifiki. Kwa muktadha huo njia rahisi na nyepesi ya kuepuka kufika huko ni kwa kuchukua tahadhari. Kinga siku zote huwa ni cheap kuliko tiba.
Uashauri na machozi yake akamwambie boss wake jiwe,anayekana kwamba hakuna corona,

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Mzee Baba alitupiga changa la macho kuwa Alitumiwa SMS na Mpango, kumbe Mpango alikua kwenye Oxygen hadi juzi! Aibu sana kudanganya
mwanasiasa akikwambia nje saizi mchana toka nje ukahakikishe usiamini kirahisi au nasema uongo ndugu zanguuuuu
 
Mzee Baba alitupiga changa la macho kuwa Alitumiwa SMS na Mpango, kumbe Mpango alikua kwenye Oxygen hadi juzi! Aibu sana kudanganya
Mimi nilijua ile ni fix,sababu Jiwe anavyopenda sifa Mpango asingetuma sms bali angempigia simu kabisa na kuwekwa loudspeaker.
 
Mlitupigia kerere na kutuona wajinga. Sasa ujinga wenu mmekua wapore
Wewe kweli ndio yule mjinga wao, ulipigiwa kelele na nani😆😆😆😆😆😆
Kwa lipi😅😅😅
 
Kiukweli akina Kijazi & Maalim wamekufa vifo vibaya sana maana hali ya mgonjwa Mipango inaogopesha

Halafu kakohoa kabisa kikohozi kikavu mbele ya macamera,hivi Jiwe anajaribu kuficha nini kuhusu hii corona mpya maana wanyonge tutakwisha kama ugonjwa ulimlazimu waziri kununua mitungi ya gesi ya kutunza ghetto kwake
 
Je, kulikuwa na umuhimu wowote wa kujitokeza hadharani akiwa ktk hali ile? Au lilikuwa ni shinikizo, ili kumuonyesha mtu fulani, kuwa anachokisema sio sahihi?!!badala ya kuondoa maswali wameyaongeza mala mia!
Siasa za mitano tena
 
He survived may b to tell a tele...
Ss nn kiliwasukuma kumwek azungumze wkt bdo hali inajionesha. Funzo na tahadhar sn apone tu kw haraka mweeh
 
Back
Top Bottom