mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
JILINDE MWENYEWE.
UFE kishujaa ukitafuta,au ufie ndani kwako chaguo ni lako
UFE kishujaa ukitafuta,au ufie ndani kwako chaguo ni lako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mjinga sana sababu unalazimisha kwamba kila mtu yupo vile unavyowaza wewe!Ni hakika mimi ni mjinga lakini sijawahi kuwa mjinga kuwapotosha watu kwa kusikiriza ujinga wa mtu! Si urianzisha na Uzi kabisa wewe? Acha kujitoa ufahamu
Akili huna......aliyekwambia kuwa ukiwa kwenye oxygen Huwezi kufanya mawasiliano mengine ni nani?Mzee Baba alitupiga changa la macho kuwa Alitumiwa SMS na Mpango, kumbe Mpango alikua kwenye Oxygen hadi juzi! Aibu sana kudanganya
Kwahiyo hajakoma?Kweny hiyo video yeye na mkuu wa hospitali pamoja na daktari wake hawakuvaa barakoa 😥 Waaguzi wote walivaa barakoa
Upuuzi wa kujipendekeza kwa jiwe.
Kujifukiza? Umeona huyo mzee toka ameumwa akijifukiza? Si kaishia kutundikiwa mitungi ya gesiHakuna kitu kinachoshindikana Kama watu wa wakiwa na dhamira moja na mshikamano.dr.mpango amesema tupende vya kwetu,corona ipo!Kama hatukubaliani kwa kauli moja kufuata maelekezo ya serikali namna ya kupambana na huu ugonjwa hili ni tatizo ktk mapambano na huu ugonjwa.kulalamika halafu umekaa ni kazi bule. wengi humu tunaongea mengi kuhusu corona na kutoa ripoti mbalimbali kuhusu huu ugonjwa,lakini jiulize Mara ngapi umejifukiza!? utakuta jibu ni Mara chache au hujawahi kabisaaa!!Mara ngapi umekunywa juice za tangawizi+limao n.k jibu utakuta Mara chache au hujawahi kabisaaa,Ila kwenye kulalamika number 1. kwa tabia hizi za kubeza jitihada na maelekezo tutaweza!!??,
Dr mpango amepitia changamoto hii,tunampa pole kwa kuugua,lakini tunaamini Kuna kitu atakuwa amepata pamoja na kuugua kwake,Kama alivosema kwa nafasi aliyonayo ataishauri serikari kwa Yale aliyojifunza akiwa ktk kupambania uhai wake,tutamshukuru akiwa atafanya hivyo na sauti yake ikasikika serikalini.ni Jambo jema amepona ili awe balozi mzuri kwa wengine ambao bado wako mahospitalini wakipambania uhai wao.Hata hivyo umoja na mshikamano ktk hali yeyote huleta matokeo mazuri ,kuliko kupishana na kukinzana.
Labda aliandika mkewe Mpango akielekezwa na Mpango mwenyewe.Magufuli ulitumiwaje SMS namtu anapumulia machine. Lakini mpango hata ungelia utoe machozi damu.mpo mnashinda na jiwe kwann hammshauri.Ila umenyooka.tujiulize kwamaskini mwezangu wa Chunya.
Chanjo nitatumiia ya beberu mungu akipenda, vipi ule Uzi wako ulioanzisha ukiusoma sasa hivi unasikia kichefuchefu. Mimi ni mujinga kweri ila sijawahi muachie mjinga mwingine akiri zangu na kubishana na sayansi. Akiri zimewakaa sawa au bado?Wewe ni mjinga sana sababu unalazimisha kwamba kila mtu yupo vile unavyowaza wewe!
Kama mwerevu pambana utuletee chanjo sio kulialia kusikokua na suluhu
Shinikizo ila nimeiogopa Covid kuliko kipindi choteJe, kulikuwa na umuhimu wowote wa kujitokeza hadharani akiwa ktk hali ile? Au lilikuwa ni shinikizo, ili kumuonyesha mtu fulani, kuwa anachokisema sio sahihi?!!badala ya kuondoa maswali wameyaongeza mala mia!
Sizungumzii ORYX au Mihan. Tofautisha acha matusiAkili huna......aliyekwambia kuwa ukiwa kwenye oxygen Huwezi kufanya mawasiliano mengine ni nani?
Au lengo lako ni kupotosha? Cha kusikitisha zaidi kuna watu eti wamekupa "like" kusapoti ulichosema...waTanzania walio wengi wana uelewa mdogo sana.
So sad
Unachekesha sana, huijui Oxygen acha ujingaAkili huna......aliyekwambia kuwa ukiwa kwenye oxygen Huwezi kufanya mawasiliano mengine ni nani?
Au lengo lako ni kupotosha? Cha kusikitisha zaidi kuna watu eti wamekupa "like" kusapoti ulichosema...waTanzania walio wengi wana uelewa mdogo sana.
So sad
Vaa barakoa.
Nawa mara kwa mara.
Epuka misongamano..
Ndugu zangu hata huku ulaya kila mzungu ninayemshuhudia akihojiwa baada ya kupona lazima amwage chozi .sikatai kuwa tusiwe Majasiri ila tuambizane ukweli. Kurusi kinapiga mapafu hadi yana haha wagonjwa wengi wakichekiwa mara nyingi oksijen level inashuka hadi 70s badala ya normal 94 Kwa hiyo oksijen haiepukiki na mgonjwa akizidiwa hiyo oksijen ya mtungi inakuwa sawa na bure wanamwekea ventilator yaani nayo inachosha ila kuna watu wanakaa nayo wiki kadhaa ikichomolewa tu mtu anaanza kunywea .yes tutakufa siku moja lakini hakuna anaeomba awe wa kwanza hizo confidence za watanzania ni za aina yake ama sivyo tusiwe na hospitali kabisa kwa kuwa siku moja tutakufa
Pumbavu kabisa.....nisiijue oxygen wakati ndo nacheza nayo kila siku.Unachekesha sana, huijui Oxygen acha ujinga
huenda nayeye hakuwahi kujaribu hata kujifukiza.japo ni mawazo yangu.ujue wengi wanahamasisha lakini vitendo nyuma.sasa si Bora ujaeibu kuliko kuacha kabisa.Kwahiyo hajakoma?
Kujifukiza? Umeona huyo mzee toka ameumwa akijifukiza? Si kaishia kutundikiwa mitungi ya gesi
kwani ulikwambia alikuwa amejishwa 24hrs!!?? acha uchochezi!!Mimi nilijua ile ni fix,sababu Jiwe anavyopenda sifa Mpango asingetuma sms bali angempigia simu kabisa na kuwekwa loudspeaker.
kwa hiyo ukitaka wafanyaje.ushauri wako pls.Tatizo kuna wajinga wanadanganyana kwenye kufuata haya.... shauri yako ...
Unaona, unadhani kucheza nazo ndio akili! Wewe ni mwendawazimu mmoja hivi, eti uko kwa oxygen uchukue simu umtumie Magufuli! Mdanganye mpuuzi mwenzioPumbavu kabisa.....nisiijue oxygen wakati ndo nacheza nayo kila siku.
Wewe ni hayawani kama mahayawani wengine