#COVID19 Machozi ya Dkt. Mpango yasiende bure

#COVID19 Machozi ya Dkt. Mpango yasiende bure

JILINDE MWENYEWE.
UFE kishujaa ukitafuta,au ufie ndani kwako chaguo ni lako
 
Ni hakika mimi ni mjinga lakini sijawahi kuwa mjinga kuwapotosha watu kwa kusikiriza ujinga wa mtu! Si urianzisha na Uzi kabisa wewe? Acha kujitoa ufahamu
Wewe ni mjinga sana sababu unalazimisha kwamba kila mtu yupo vile unavyowaza wewe!
Kama mwerevu pambana utuletee chanjo sio kulialia kusikokua na suluhu
 
Mzee Baba alitupiga changa la macho kuwa Alitumiwa SMS na Mpango, kumbe Mpango alikua kwenye Oxygen hadi juzi! Aibu sana kudanganya
Akili huna......aliyekwambia kuwa ukiwa kwenye oxygen Huwezi kufanya mawasiliano mengine ni nani?
Au lengo lako ni kupotosha? Cha kusikitisha zaidi kuna watu eti wamekupa "like" kusapoti ulichosema...waTanzania walio wengi wana uelewa mdogo sana.
So sad
 
Kweny hiyo video yeye na mkuu wa hospitali pamoja na daktari wake hawakuvaa barakoa 😥 Waaguzi wote walivaa barakoa
Upuuzi wa kujipendekeza kwa jiwe.
Kwahiyo hajakoma?
Hakuna kitu kinachoshindikana Kama watu wa wakiwa na dhamira moja na mshikamano.dr.mpango amesema tupende vya kwetu,corona ipo!Kama hatukubaliani kwa kauli moja kufuata maelekezo ya serikali namna ya kupambana na huu ugonjwa hili ni tatizo ktk mapambano na huu ugonjwa.kulalamika halafu umekaa ni kazi bule. wengi humu tunaongea mengi kuhusu corona na kutoa ripoti mbalimbali kuhusu huu ugonjwa,lakini jiulize Mara ngapi umejifukiza!? utakuta jibu ni Mara chache au hujawahi kabisaaa!!Mara ngapi umekunywa juice za tangawizi+limao n.k jibu utakuta Mara chache au hujawahi kabisaaa,Ila kwenye kulalamika number 1. kwa tabia hizi za kubeza jitihada na maelekezo tutaweza!!??,
Dr mpango amepitia changamoto hii,tunampa pole kwa kuugua,lakini tunaamini Kuna kitu atakuwa amepata pamoja na kuugua kwake,Kama alivosema kwa nafasi aliyonayo ataishauri serikari kwa Yale aliyojifunza akiwa ktk kupambania uhai wake,tutamshukuru akiwa atafanya hivyo na sauti yake ikasikika serikalini.ni Jambo jema amepona ili awe balozi mzuri kwa wengine ambao bado wako mahospitalini wakipambania uhai wao.Hata hivyo umoja na mshikamano ktk hali yeyote huleta matokeo mazuri ,kuliko kupishana na kukinzana.
Kujifukiza? Umeona huyo mzee toka ameumwa akijifukiza? Si kaishia kutundikiwa mitungi ya gesi
 
Magufuli ulitumiwaje SMS namtu anapumulia machine. Lakini mpango hata ungelia utoe machozi damu.mpo mnashinda na jiwe kwann hammshauri.Ila umenyooka.tujiulize kwamaskini mwezangu wa Chunya.
Labda aliandika mkewe Mpango akielekezwa na Mpango mwenyewe.
 
Wewe ni mjinga sana sababu unalazimisha kwamba kila mtu yupo vile unavyowaza wewe!
Kama mwerevu pambana utuletee chanjo sio kulialia kusikokua na suluhu
Chanjo nitatumiia ya beberu mungu akipenda, vipi ule Uzi wako ulioanzisha ukiusoma sasa hivi unasikia kichefuchefu. Mimi ni mujinga kweri ila sijawahi muachie mjinga mwingine akiri zangu na kubishana na sayansi. Akiri zimewakaa sawa au bado?
 
Je, kulikuwa na umuhimu wowote wa kujitokeza hadharani akiwa ktk hali ile? Au lilikuwa ni shinikizo, ili kumuonyesha mtu fulani, kuwa anachokisema sio sahihi?!!badala ya kuondoa maswali wameyaongeza mala mia!
Shinikizo ila nimeiogopa Covid kuliko kipindi chote
 
Akili huna......aliyekwambia kuwa ukiwa kwenye oxygen Huwezi kufanya mawasiliano mengine ni nani?
Au lengo lako ni kupotosha? Cha kusikitisha zaidi kuna watu eti wamekupa "like" kusapoti ulichosema...waTanzania walio wengi wana uelewa mdogo sana.
So sad
Sizungumzii ORYX au Mihan. Tofautisha acha matusi
 
Ndugu zangu hata huku ulaya kila mzungu ninayemshuhudia akihojiwa baada ya kupona lazima amwage chozi .sikatai kuwa tusiwe Majasiri ila tuambizane ukweli. Kurusi kinapiga mapafu hadi yana haha wagonjwa wengi wakichekiwa mara nyingi oksijen level inashuka hadi 70s badala ya normal 94 Kwa hiyo oksijen haiepukiki na mgonjwa akizidiwa hiyo oksijen ya mtungi inakuwa sawa na bure wanamwekea ventilator yaani nayo inachosha ila kuna watu wanakaa nayo wiki kadhaa ikichomolewa tu mtu anaanza kunywea .yes tutakufa siku moja lakini hakuna anaeomba awe wa kwanza hizo confidence za watanzania ni za aina yake ama sivyo tusiwe na hospitali kabisa kwa kuwa siku moja tutakufa
 
Akili huna......aliyekwambia kuwa ukiwa kwenye oxygen Huwezi kufanya mawasiliano mengine ni nani?
Au lengo lako ni kupotosha? Cha kusikitisha zaidi kuna watu eti wamekupa "like" kusapoti ulichosema...waTanzania walio wengi wana uelewa mdogo sana.
So sad
Unachekesha sana, huijui Oxygen acha ujinga
 
Ndugu zangu hata huku ulaya kila mzungu ninayemshuhudia akihojiwa baada ya kupona lazima amwage chozi .sikatai kuwa tusiwe Majasiri ila tuambizane ukweli. Kurusi kinapiga mapafu hadi yana haha wagonjwa wengi wakichekiwa mara nyingi oksijen level inashuka hadi 70s badala ya normal 94 Kwa hiyo oksijen haiepukiki na mgonjwa akizidiwa hiyo oksijen ya mtungi inakuwa sawa na bure wanamwekea ventilator yaani nayo inachosha ila kuna watu wanakaa nayo wiki kadhaa ikichomolewa tu mtu anaanza kunywea .yes tutakufa siku moja lakini hakuna anaeomba awe wa kwanza hizo confidence za watanzania ni za aina yake ama sivyo tusiwe na hospitali kabisa kwa kuwa siku moja tutakufa

Kuna mambo yana fikirisha sana
 
mimi nilichoelewa ni kwamba sisi wananchi wakawaida tunadanganywa tupige nyungu,covidol and bupiji ambazo zote hazina ushahidi wowote kwenye kukinga/kuzuia au kutibu uviko-19.kwa upande mwingine hawa waheshimiwa wakiwa wameshajinunulia mitungi ya gesi ya oksijeni majumbani kwao.Nilitamani jamaa angesema kabisa bila kumungunya maneneo kwamba ,madawa na huduma za hospitali ndio zinazoweza kukusaidia period.
 
Kwahiyo hajakoma?

Kujifukiza? Umeona huyo mzee toka ameumwa akijifukiza? Si kaishia kutundikiwa mitungi ya gesi
huenda nayeye hakuwahi kujaribu hata kujifukiza.japo ni mawazo yangu.ujue wengi wanahamasisha lakini vitendo nyuma.sasa si Bora ujaeibu kuliko kuacha kabisa.
 
Pumbavu kabisa.....nisiijue oxygen wakati ndo nacheza nayo kila siku.
Wewe ni hayawani kama mahayawani wengine
Unaona, unadhani kucheza nazo ndio akili! Wewe ni mwendawazimu mmoja hivi, eti uko kwa oxygen uchukue simu umtumie Magufuli! Mdanganye mpuuzi mwenzio
 
Back
Top Bottom