#COVID19 Machozi ya Dkt. Mpango yasiende bure

Barakoa, kuepuka misongamano ni muhimu.
Waziri hata nyumbani hajafika, hakumbuki kuvaa barakoa na kaitisha misongamano usio na ulazima, wanaomzunguka licha ya kuwa na muathurika mbashara, bado wanaendekeza siasa. Waziri bado ni dhaifu, wanaweza kumuathiri, waziri hajapona kwa asilimia 100, anaweza kuwaathiri, tuzinduke kutoka katika lindi la ujinga!
Akikujibu nambie!
 
Je, kulikuwa na umuhimu wowote wa kujitokeza hadharani akiwa ktk hali ile? Au lilikuwa ni shinikizo, ili kumuonyesha mtu fulani, kuwa anachokisema sio sahihi?!!badala ya kuondoa maswali wameyaongeza mala mia!
Haukuwa sahihi kwa hali aliyokuwa nayo si vyema kumleta pale na kuzungumzia afya yake
 
Je, kulikuwa na umuhimu wowote wa kujitokeza hadharani akiwa ktk hali ile? Au lilikuwa ni shinikizo, ili kumuonyesha mtu fulani, kuwa anachokisema sio sahihi?!!badala ya kuondoa maswali wameyaongeza mala mia!

Nampa pole Waziri Mpango kwa kuugua na ninamuombea Mungu ampe uponyaji. Lakini kwa maoni yangu haikua sahihi kuzungumza na media akiwa katika hali ile. Alihitaji muda zaidi wa kupumzika kuliko kuzungumza na media. Kama kuna watu walimshauri aitishe press basi walikosea sana na hawakumtendea haki Dr.Mpango wala familia yake.

Serikali ijifunze kupitia hili la Dr.Mpango lisijirudie tena kwa wengine. Viongozi wetu wanapougua waachwe wapumzike hadi afya zao zitakapotengemaa. Tusiwashauri kwenda kwenye media kabla hawajastabilize. Hata kama wamezushiwa vifo, kuitisha press sio njia sahihi ya kukanusha uzushi huo. Tuwape nafasi wapumzike. Get well soon Dr.Mpango.!

By Malisa GJ.
 
Kumtoa mgonjwa anayetumia oksigeni tena ndani ya icu ndani ya siku tatu ni makosa makubwa sana,na tuseme hata madaktari walio mruhusu walifanya makosa makubwa sana,
 
Akikujibu nambie!
nakujibu mm
Ile ni taasisi ya afya,kumbuka Ina madaktari bingwa,sio waganga wa kienyeji.kama walimhudumia mgonjwa mwenye maambukizi mpaka akapona ,na wao bila kuambukizwa pamoja na kumhudumia kwa ukaribu mgonjwa,na hawakuambukizwa.that means kwa pale wote waliokuwepo pale kwa preconference wako salama ,hawana maambukizi.na ndio maana wamejiridhisha kisayansi amepona aruhusiwe kurudi nyumbani.ulitaka pale wavae barakoa za nn?? na hapakuwa na mgonjwa pale.labda ungehoji Kama angekuwa out of referral hospt envr.
 
Huh! Hakuna maambukizi pale sio? Mbona wale wengine walivaa? Hivi kwa akiri ya kawaida unaweza kusema maeneo yale hakuna maambukizi?
 
  • Thanks
Reactions: Auz
nakujibu mm
Ile ni taasisi ya afya,kumbuka Ina madaktari bingwa,sio waganga wa kienyeji.kama walimhudumia mgonjwa mwenye maambukizi mpaka akapona ,na wao bila kuambukizwa pamoja na kumhudumia kwa ukaribu mgonjwa,na hawakuambukizwa.that means kwa pale wote waliokuwepo pale kwa preconference wako salama ,hawana maambukizi.na ndio maana wamejiridhisha kisayansi amepona aruhusiwe kurudi nyumbani.ulitaka pale wavae barakoa za nn?? na hapakuwa na mgonjwa pale.labda ungehoji Kama angekuwa out of referral hospt envr.
Wamejiridhisha kuwa amepona ilhali bado ana cannula kiganjani? Sikulaumu hata, maana Tz siasa ndio maamuzi wa yote!
 
Back
Top Bottom