Machozi ya mtoto wa jirani yangu yamenisikitisha sana

Machozi ya mtoto wa jirani yangu yamenisikitisha sana

Ukishapata mtoto wako hiyo hali itaisha,pia jitahidi kubadilika usipende kuzoea watoto wa watu dunia imebadilika
Sawa upo hivo lakini vingine inabidi ujifunze kupotezea yaani watu wasikuzoee too much
 
Wale wazee mnaocheza na watoto wa watu barabarani🤣
Kuna mzee mmoja anacheza na watoto mpira wa visoda. Juzi hapo kaanza kuzushiw habari mbaya mtaani kuwa hachezi bao na wakubwa wenzake🤣
Izo skendo tu za mtaani,Kama anacheza na watoto kwa upendo tu mungu ambariki mzee wa watu ila Kama ndo mzee wa Mambo ya upinde aisee
 
Ukishapata mtoto wako hiyo hali itaisha,pia jitahidi kubadilika usipende kuzoea watoto wa watu dunia imebadilika
Sawa upo hivo lakini vingine inabidi ujifunze kupotezea yaani watu wasikuzoee too much
Asante kwa ushauri wako,ni kweri dunia imebadilika,mazoea kwa limit yasizid sana.
Ni kipenzi Cha watoto kila sehemu nayoishi inakuwa ivo siwezi kuzuia hiyo Hali inabid niwe upande wao.
 
Asante kwa ushauri wako,ni kweri dunia imebadilika,mazoea kwa limit yasizid sana.
Ni kipenzi Cha watoto kila sehemu nayoishi inakuwa ivo siwezi kuzuia hiyo Hali inabid niwe upande wao.
Nina uhakika huna mtoto
Umesema una mke vipi hamjapanga kupata mtoto?
 
Kweli uliishi nao vyema.
Mm nakumbuka kuna jirani yangu nilikua namuita mama mkwe na mumewe baba mkwe Wana watoto watatu wa kike mmoja yupo std7 mwingine yupo std4 na wamwisho yupo std1 basi huyu wa mwisho nilihamia hapo kakiwa kadogo hakawezi kuongea kwahyo kalivyoanza kuongea nikakaambia mimi naitwa baby basi kakazoea jina hilo.
Tuliishi pale mpka kakaanza kusoma kipindi hiko nipo na genge basi asubuhi nakapa hela ya maandazi kanafurahi kweli kakitoka kanakuja gengeni nilipo tunakaa na kucheki cartoons mpka kanalala basi kakanizoea kweli mm nakaita mchumba kenyewe kananiita baby.

Siku nasema nahama alooo kwanza kalikua shule nikatoa vitu vyangu vyote nikawa nimebakiza kuja kukabidhi chumba basi nikaja jioni nikakutana na mwenye nyumba nikakabidhi na kuagana nae sasa mama yake akamwambia baby wako anaondoka dah nilikua na pikipiki kila nikiwasha ndio anaongza kulia ikabidi nikae mpka alale ndipo niondoke ila niliumia sana siku ile. Kuna siku nipo kwenye mizunguko yangu kkoo akaniona weeee aliita kwa nguvu babyyyy babyy mpka nikamsikia watu wanashangaa hawa vipi mtoto na mtu mzima 😂😂😂😂😂😂 alifurahi sana hana la kusema anacheka tu ila sio siri niliishi vyema sana na ile familia ilifika kipindi nikitaka kusafiri nawaachia chumba na mumewe ni boda namuachia pikipiki anapigia kazi. Mpka leo mchumba kakua nikimwambia ulikua unaniita baby anakataa namuonyesha videos na picha anacheka tu. Kuishi na watu vyema kunafungua baraka nyingi.
 
Asante kwa ushauri wako,ni kweri dunia imebadilika,mazoea kwa limit yasizid sana.
Ni kipenzi Cha watoto kila sehemu nayoishi inakuwa ivo siwezi kuzuia hiyo Hali inabid niwe upande wao.
Ndugu hata yesu aliwapenda watoto hakuna baya kama utaonyesha upendo kwa watoto. Mimi mitaa niliokaa watoto wanatoroka kwao wanakuja kujazana kwangu kipindi cha likizo kama nipo home wazazi wao wanajua pa kuwapata watoto wao maana wakija nawatolea tv koridoni naifunga wanaanza kuangalia cartoons au movie hawaondoki . Japo kweli kuna wengine wanawaza vibaya ila jinsi unavyoishi na watu vizuri hawawezi kukuwazia mambo mabaya na kama ww hufanyi ubaya kwa watoto.
 
Wale wazee mnaocheza na watoto wa watu barabarani🤣
Kuna mzee mmoja anacheza na watoto mpira wa visoda. Juzi hapo kaanza kuzushiw habari mbaya mtaani kuwa hachezi bao na wakubwa wenzake🤣
Kama alikua na nia ya kuwahujumu lazima watu wastuke huwezi letewa habari mbaya kama hukua na viashiria vya ubaya kuna mipaka kwenye kila jambo mfano mimi watoto walikua wanakuja kwangu siwaruhusu kuingia ndani bora nowatolee tv nje waangalie kuna mambo ukijiepusha hata watu kukuletea shida wanaona aibu
 
Sipendi watoto wa watu waje nyumbani kwangu hata kuangalia TV Nimejenga nyumba kubwa sana huwa wanasem hawa wachaga wana misukuke. Mtoto akiumw tu wanaleta maneno Kifup sitak waje wakae huko kwao🙃
 
Hizo ni mbinu za kimedani, ulianza kupenda boga kisha ua likajielekeza kibla...😊
 
Back
Top Bottom