scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
Izo skendo tu za mtaani,Kama anacheza na watoto kwa upendo tu mungu ambariki mzee wa watu ila Kama ndo mzee wa Mambo ya upinde aiseeWale wazee mnaocheza na watoto wa watu barabarani🤣
Kuna mzee mmoja anacheza na watoto mpira wa visoda. Juzi hapo kaanza kuzushiw habari mbaya mtaani kuwa hachezi bao na wakubwa wenzake🤣
Haha mzee yule ni mwenyekit wa kanisa hana shida😀Izo skendo tu za mtaani,Kama anacheza na watoto kwa upendo tu mungu ambariki mzee wa watu ila Kama ndo mzee wa Mambo ya upinde aisee
Asante kwa ushauri wako,ni kweri dunia imebadilika,mazoea kwa limit yasizid sana.Ukishapata mtoto wako hiyo hali itaisha,pia jitahidi kubadilika usipende kuzoea watoto wa watu dunia imebadilika
Sawa upo hivo lakini vingine inabidi ujifunze kupotezea yaani watu wasikuzoee too much
Watu wa dini sio wa kuwaamini Sana now days wengine ni washeziHaha mzee yule ni mwenyekit wa kanisa hana shida😀
Ulikuwa unataka atenshen sioWana jf mnapenda niondoke kila mada nayo comment Leo lazima mtu aje ku reply we si uliaga unaondoka.
Soon ntakuwa mute hapa jf ntawamic Sana members wa humu
😂😂😂 alitaka abembelezwe abaki akakuta hatuna habareHuyu anaaga mara mbili mbili 😀 ana urafiki na mtoto O🤣
😂😂Hata 0 asijali baba(anko) atarudi tu maana sie Wana jf alituaga Jana Leo kasharudi😃
Nilitaka kuwajua wanafiki wa Jf😁Ulikuwa unataka atenshen sio
Umewajua wangapi?Nilitaka kuwajua wanafiki wa Jf😁
Kuna watu wamekuja mpaka pm kuniuliza why na left Jf ,kumbe na mm najulika jmn😁😂😂😂 alitaka abembelezwe abaki akakuta hatuna habare
Wengi tu sio Wana humu Jf,Ila wenye upendo Kama wote wapoUmewajua wangapi?
Nina uhakika huna mtotoAsante kwa ushauri wako,ni kweri dunia imebadilika,mazoea kwa limit yasizid sana.
Ni kipenzi Cha watoto kila sehemu nayoishi inakuwa ivo siwezi kuzuia hiyo Hali inabid niwe upande wao.
Nina mtoto mdogo ana mwaka 1 na miez 4( kabinti)Nina uhakika huna mtoto
Umesema una mke vipi hamjapanga kupata mtoto?
Ndugu hata yesu aliwapenda watoto hakuna baya kama utaonyesha upendo kwa watoto. Mimi mitaa niliokaa watoto wanatoroka kwao wanakuja kujazana kwangu kipindi cha likizo kama nipo home wazazi wao wanajua pa kuwapata watoto wao maana wakija nawatolea tv koridoni naifunga wanaanza kuangalia cartoons au movie hawaondoki . Japo kweli kuna wengine wanawaza vibaya ila jinsi unavyoishi na watu vizuri hawawezi kukuwazia mambo mabaya na kama ww hufanyi ubaya kwa watoto.Asante kwa ushauri wako,ni kweri dunia imebadilika,mazoea kwa limit yasizid sana.
Ni kipenzi Cha watoto kila sehemu nayoishi inakuwa ivo siwezi kuzuia hiyo Hali inabid niwe upande wao.
Kama alikua na nia ya kuwahujumu lazima watu wastuke huwezi letewa habari mbaya kama hukua na viashiria vya ubaya kuna mipaka kwenye kila jambo mfano mimi watoto walikua wanakuja kwangu siwaruhusu kuingia ndani bora nowatolee tv nje waangalie kuna mambo ukijiepusha hata watu kukuletea shida wanaona aibuWale wazee mnaocheza na watoto wa watu barabarani🤣
Kuna mzee mmoja anacheza na watoto mpira wa visoda. Juzi hapo kaanza kuzushiw habari mbaya mtaani kuwa hachezi bao na wakubwa wenzake🤣
Sipendi watoto wa watu waje nyumbani kwangu hata kuangalia TV Nimejenga nyumba kubwa sana huwa wanasem hawa wachaga wana misukuke. Mtoto akiumw tu wanaleta maneno Kifup sitak waje wakae huko kwao🙃Kama alikua na nia ya kuwahujumu lazima watu wastuke huwezi letewa habari mbaya kama hukua na viashiria vya ubaya kuna mipaka kwenye kila jambo mfano mimi watoto walikua wanakuja kwangu siwaruhusu kuingia ndani bora nowatolee tv nje waangalie kuna mambo ukijiepusha hata watu kukuletea shida wanaona aibu